Recent content by MR.KUMEKUCHA

  1. M

    Kituo cha polisi Geita chavamiwa, Askari wauawa!

    Kauli ya pinda wapigwe tu coz wamezoea kuua raia wasio na hatia.
  2. M

    Kituo cha polisi Geita chavamiwa, Askari wauawa!

    KATI YA ASKARI NA MAJAMBAZI YUPI SHUJAA?Wakuu habari za leo Jumamosi?! Nimepokea taarifa kutoka Mkoani Geita kwamba usiku wa leo majira ya saa 9 watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi wamevamia kituo cha polisi cha wilaya ya Bukombe na kuua askari sita waliokuwa zamu na kuvunja ghala la silaha...
  3. M

    Masharti ya kujiunga na chama cha mapinduzi (CCM)

    Kwanza lazima uwe mwizi;ndipo iwe rahisi kuiibia ser!kal!ccm(chukua chako mapema)
  4. M

    Hivi ni haki kuhubiri hovyo hovyo kwenye mabasi ya umma?

    Ni kweli wanapiga makelele mara tano kwa cku kama wehu ili asikie nani?dn zngine majanga wengne kelele nyani haon... Uhuru wa kuabudu.
  5. M

    Hivi ni haki kuhubiri hovyo hovyo kwenye mabasi ya umma?

    Mbona watu wanaswali na maloud speaker husemi ovyo.mtoa mada acha ujuha!kazi ya mungu haina makosa!watu wanakufa ovyo husemi.
  6. M

    SWALI: Kwanini CHADEMA haipo na haikubaliki Zanzibar?

    Waislam wana upemba na uunguja znz so ccm unguja &pemba cuf ukichanganya na udini hatareee kweli!waislam wanachagua mwislam ili atetee maslahi yao!
  7. M

    BAKWATA wamkemea Makonda

    Bakwata msipende vtu vya burebure mta....
  8. M

    Kanisani Pekupeku

    Mungu anaabudiwa katika roho na kweli hata wakisujudu watupu mola anawasikia tu !kwani ukimwomba mungu ukiwa bafun hakusikii?
  9. M

    MAAJABU YA JK: Atoa msamaha kwa mfungwa mmoja wa EPA wakati wengine 5 kawatosa

    Fedha ni jawabu la kila kitu.safi sana mkawalipie na wengine waachie muungano day.
  10. M

    Kwa sala, dua, maombi na maombezi tumuombee mzee Ndimbo wa Biblia ni jibu

    Pole sana mzee wangu mungu atakulinda na kukuponya kabisa!mimi ni mmoja watu waliohudhuria mihadhara yako kweli nmejifunza mengi kutoka kwako.kristo pekee ni tumaini letu.
  11. M

    Kwa sala, dua, maombi na maombezi tumuombee mzee Ndimbo wa Biblia ni jibu

    Pole sana mzee wangu mungu atakulinda na kukuponya kabisa!mimi ni mmoja watu waliohudhuria mihadhara yako kweli nmejifunza mengi kutoka kwako.kristo pekee ni tutaini letu.
  12. M

    wafilisiti ni akina nani kwa sasa?

    Kwa maslahi ya dini!wafilisti ni wapalestina.
  13. M

    Wananchi wa Iringa na Arusha wabunge wenu wamewafanyia nini tokea wachaguliwe?

    Nadhan mtoa mada yuko heat perd tumsamehe!kwan serkal imemfanyia nn had sasa?
Back
Top Bottom