wafilisiti ni akina nani kwa sasa?

wafilisiti ni akina nani kwa sasa?

ntamaholo

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2011
Posts
12,956
Reaction score
7,004
Wana jamvi, Mungu amekuwa akiwalinda watu wake ISRAEL kupinga hila mbalimbali. Mfano amewalind dhidi ya wafilisti.

Wafilisti ndo ndani
 
For a meaning of the name Palestine, Jones' Dictionary of Old Testament Proper Names goes with the verb mentioned above, meaning roll around, and forgivingly translates with The Land Of Wanderers. NOBS Study Bible Name List does not translate either name Palestine or Philistine.
 
Kwa hyo nitakuwa sahihi nikisema mtoto wa nyumba ndogo kwa Ibrahim Ishumael ndo chimbuko la wafilisti? Na mohamad sw ni moja ya wazao wao?
 
mh.kuna kachembechembe ka Central Africa Republic nakaona kwenye hii thread.mtoa mada plz be careful..sipo tayar kula nyama za.watu wakati mm sio mchawii.plzzzz
 
umenikumbusha jinsi daudi alivyompiga mfilisiti kwa tobito ktk paji lake la uso
 
Naona mleta mada anatengeneza mada nyingine kupitia majibu anayopata kwa wachangiaji😕
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom