Recent content by mr.kuda

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nyumba za kupanga jijini Dar, Jipu linalohitaji kutumbuliwa

    mkuu iyo kodi ikiwepo na vyumba na vyo vinapanda kikubwa ni kutafuta njia ambayo ni rafiki kwa kila upande kuondoa tatizo hili.
  2. M

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Jamaa angu yuko Musoma Mjini anaomba wa kubadilishana nae yeye arudi Dodoma ( dodoma mjini au Kongwa) Namba ake 0767975096
  3. M

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mi Niko Musoma Mjini natafuta mwalimu wa kubadilishana nae aje Musoma Mjini nije Dar 0717578389
  4. M

    JamiiForums Tanzania VIDEO: UKAWA Wazuiliwa Kushiriki Cocktail Party; Ni Baada ya Kutimuliwa Bungeni

    kumbu serikali iliopo madarakani inapo peleka Huduma za kijamii kwenye majimbo ya vyama vya upinzani ni fadhila
  5. M

    JamiiForums Tanzania UKAWA waeleza sababu za kuzomea Bungeni

    Maalim alisha sema kama halitenda kosa wakamshitaki na pili sheria haisemi kuwa ukijitangaza uchaguzi unafutwa.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni ifutwe

    ndo umeona icho cheo chenyewe kinaongeza matumizi ya serikali tu? mshauri afute na wakuu wa wilaya na mikoa
  7. M

    JamiiForums Tanzania CUF wanastahili kugombea majimbo mengi zaidi 2020

    Apo umenena ndugu uchaguzi wa mwaka huu ulitawaliwa na ukanda.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Simu inaonyesha Memory full ingawa SD card bado mpya

    Mkuu kutokana na ulivyoo elezea tatizo la simu apo juu nahisi storage ya vitu kama music; whatsApps video +picture +Audio na vitu unavyo download storage yake itakua kwenye phone memory; kutokana na hali iyo phone memory imejaa; chakufanya badili storage setting uweke kwenye SD card.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Simu inaonyesha Memory full ingawa SD card bado mpya

    Mkuu tutokana na ulivyoo elezea tatizo la simu apo juu nahisi storage ya vitu kama music; whatsApps video +picture +Audio na vitu unavyo download storage yake itakua kwenye phone memory; kutokana na hali iyo phone memory imejaa; chakufanya badili storage setting uweke kwenye SD card.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mwanamke/mwanaume gani hautamsahau katika maisha yako?

    Robert Mugabe
  11. M

    JamiiForums Tanzania Vitambulisho vya taifa vya uraia vitatumika kupigia kura

    Katika kujaza fomu ya maombi ya vitambulisho vya uraia kulikua na kipengele kilicho kua kinasema; Je unataka kujiandikisha kupiga kupiga kura? Hicho kipengele kilitaka ukubali au ukatae. Swali langu ni kwamba kwa mtu aliye kubali hicho kipengele atatumia hicho kitambulisho kupiga kura? Na kama...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Rasmi: Majina ya Waliopangiwa kujiunga na Kidato cha Tano, Julai 2015

    wakuu mwenye selection za form five aingize humu ndani coz iyo link mliyo weka kwangu inasumbua kufunguka
  13. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kufika ofisi za NECTA

    shukrani jak kwa maelezo yako
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ni wakati wa kujitambua (Jua ulikotoka)

    Mkuu hongera kwa elimu uliyotoa
  15. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kufika ofisi za NECTA

    nashukuru Mkuu pembe; Mimi Niko Moro
Back
Top Bottom