Msaada wa kufika ofisi za NECTA

Msaada wa kufika ofisi za NECTA

Mbona hujaeleza unatokea sehemu gani? Ofisi za Baraza la Mitihani ya Taifa (NECTAR) ziko upande wa Mikocheni barabara ya Bagamoyo karibu na Chuo cha Ustawi wa Jamii na ofisi za kingamuzi cha Star Times. Mkabala na kituo cha mafuta cha BAMAGA.
 
Mkuu ondoa hiyo 'r' nectar ni kitu kingine
 
anayefahamu ofisi za necta zilipo naomba anielekeze
Ukifika Ubungo standi ya mkoa chukua bodaboda akupeleke mawasiliano(standi ya daladala,nauli isiwe zaidi buku jero. Panda daladala inayokwenda Makumbusho, mwambie konda kuwa unashuka Bamaga, nauli ni mianne tu. Ukishuka Bamaga chukua bodaboda atakupeleka NECTA, nauli ni buku tu.
 
Back
Top Bottom