Mjini noma sana[emoji1][emoji1]umenikumbusha miaka saba iliyopita niliingia jiji moja hivi ,nikawa sijui lodge zinapatika wapi nikaona isiwe tabu ngoja niulize kwa msela mmoja hapo mtaani. Jamaa akasema kama unataka chumba nikupe geto langu nipe hela kadhaa ambayo tulikubaliana.
Jamani naomba kujua kiundani hii elimu ya veta kwenye zile short courses za NVA
NVA I inasoma kwa muda gan?
NVA II inasomwa kwa muda gani?
NVA III inasomwa kwa muda gani?
Anaefahamu naomba unipe mkadima kidogo.
Acha kila mtu afanye kadri ya uwezo wake,ila mtoa andiko inabidi ukioa, uoe mwanamke bonge tipwa tipwa tukunyema. Tofauti na hivyo jiandae kulea watoto ambao sio wako[emoji1787][emoji1787]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.