Peter Mwaihola
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 227
- 333
- Thread starter
- #41
Njia zao za kutafuta hela ndio huwachosha zaid
Njia zao za kutafuta hela ndio huwachosha zaid
Dahyaani weweMhh
Labda mseme anakuwa rahisi.. hachomoi mitongozo
Mwandishi amechukua sampo ya ukoo wake ni muongo, apuuzwee
Mi nna 29 saivi na wala sina pressure ya ndoa wala mtoto, niko tofauti kdogo na wanaoamini heshma ya mwanamke inakamilika kwa ndoa.nawaambiaga friends zangu hata nifike 35 kama hakuna anaeeleweka basi nitakaa mwenyewe milele na sio kukimbilia mkataba wa kulala na adui kitanda kimoja nisije mtoa roho usiku akiwa anaota bure.asiye na bahati, habahatishi.
Wangapi waliolewa at their mid 20s, wakafika 30s ndoa chali.
Wengi wanaanza kuitafuta Ndoa wakishafika umri wa chuma chakavu yaani kuanzia miaka 30 kuendelea.Ulimwengu unawahangaisha sana wanawake mpaka wanasahau kusoma alama za nyakati.......
Stara pekeee ya mwanamke na heshima ya mwanamke kwenye jamii ni ndoa...... mwanamke anatakiwa kipindi kile ambacho anawaka usichana atafute na achague mtu sahihi wa kumuoa na sio kuutumia mwili wake kuendesha maisha.......
But Ndoa sio swala la bahati, kwasababu hata ukidefine neno bahati lenyewe utagundua kwamba BAHATI = Maandalizi+ Fursa.asiye na bahati, habahatishi.
Wangapi waliolewa at their mid 20s, wakafika 30s ndoa chali.
Utasikia "Aku me sitaki kuolewa hadi nitimize ndoto zangu " ndoto zenyewe sasa, kumiliki Private Jet, kuwa na Bilionea kabla ya miaka 30,kuwa CEO wa kampuni kadhaa zinazotengeneza mabilioni ya pesa, kuwa na magari ya bei kumi, kuwa na majumba ya kifahari........kweli kabisa ktk umri mdogo wanakuwa na advantage ya kumfanyia screening kila mwanaume anaejitokeza, Sasa wao huwa wanageuza kuwa kipindi cha kukusanya fedha na kuleta pozi Kwa wanaume, tena huwaletea pozi hata wale walio serious, ukizungumzia ndoa tu, hapo ndo anakuona we hamnazo kabisa ie old fashion.........
So wewe hautaolewa mpenzi?Mbona Mimi nimefika huo umri na sijapata hayo mawazo sijui ya kuolewa na yoyote au kuzaa tu ili mradi, Kila mtu na mindset yake pia kibongo ukifata mawazo ya wajinga walio wengi Kwa jamii ndio hyo kuzaa tu na yoyote kuoa au kuolewa na yoyote ili ufaraishe jamii.
So be you
Kitu kibaya kwenye Maisha ni kuambiwa tatizo wewe ukajiandaa kubisha kuwa hilo tatizo linalosemwa wewe kwako sio tatizo ila ukasahau watu wale wale wanaosema tatizo hilo lipo na wewe ni miongoni mwao so na wewe linakuhusu ila unajaribu kukataa kuwa halipo yaani unaishi in denial.Mi nna 29 saivi na wala sina pressure ya ndoa wala mtoto, niko tofauti kdogo na wanaoamini heshma ya mwanamke inakamilika kwa ndoa.nawaambiaga friends zangu hata nifike 35 kama hakuna anaeeleweka basi nitakaa mwenyewe milele na sio kukimbilia mkataba wa kulala na adui kitanda kimoja nisije mtoa roho usiku akiwa anaota bure.
Kuolewa nitaolewaSo wewe hautaolewa mpenzi?
.......Mungu awasaidie hawa dada zetu, sometimes wanajisahaulisha kuwa wao kitu cha thamani na heshima na ambacho ni rahisi kidogo kupatikana ni ndoa, hizo ndoto nyingine ni ngumu kuzitimiza, hata sisi wanaume tunaweza pambana na tukufeli vilevile kutimiza.......Utasikia "Aku me sitaki kuolewa hadi nitimize ndoto zangu " ndoto zenyewe sasa, kumiliki Private Jet, kuwa na Bilionea kabla ya miaka 30,kuwa CEO wa kampuni kadhaa zinazotengeneza mabilioni ya pesa, kuwa na magari ya bei kumi, kuwa na majumba ya kifahari.
Mtazame sasa huyo msukule anaewazia hizi ndoto. Huwa natikisa tu kichwa navionea huruma nasema ngojeni tu ifike hiyo 30 mtaamka kutoka huo usingizi wa ndoto za mchana kwa nguvu na ndio mtajua hamjui hata kidogo.
Kuna kitu hujajua nilipogundua siwez kufanya muujiza au kumtaka mtu anioe nilisema na moyo wangu nikakubali matokeo nikaiambia nafsi yangu Furaha ni bora kuliko ndoa.noKitu kibaya kwenye Maisha ni kuambiwa tatizo wewe ukajiandaa kubisha kuwa hilo tatizo linalosemwa wewe kwako sio tatizo ila ukasahau watu wale wale wanaosema tatizo hilo lipo na wewe ni miongoni mwao so na wewe linakuhusu ila unajaribu kukataa kuwa halipo yaani unaishi in denial.
Mbaya sana hii kitu aiseee. 29 unajua ni mke wa mtu tena wa watoto hata 3 au 4. Na muda huo ndio muda wa kukomaa kujenga familia yaani malezi ya watoto na uchumi wa familia nguvu zinaelekezwa huko.
Sasa wewe ukiwa umri wa 29 halafu upretend like that doesn't mean anything, then my dear u are not serious at all with this thing called life.
factUlimwengu unawahangaisha sana wanawake mpaka wanasahau kusoma alama za nyakati.......
Stara pekeee ya mwanamke na heshima ya mwanamke kwenye jamii ni ndoa...... mwanamke anatakiwa kipindi kile ambacho anawaka usichana atafute na achague mtu sahihi wa kumuoa na sio kuutumia mwili wake kuendesha maisha.......
kila mtu na maamuzi yKMbona Mimi nimefika huo umri na sijapata hayo mawazo sijui ya kuolewa na yoyote au kuzaa tu ili mradi, Kila mtu na mindset yake pia kibongo ukifata mawazo ya wajinga walio wengi Kwa jamii ndio hyo kuzaa tu na yoyote kuoa au kuolewa na yoyote ili ufaraishe jamii.
So be you
SawaKuna mambo wanawake wameaminishwa sio sahihi kbsa , mfano ili mwanamke aheshimiwe lazima aolewe .
Sasa ataheshimika vipi kama analiwa na kila mtu mzeeKuna mambo wanawake wameaminishwa sio sahihi kbsa , mfano ili mwanamke aheshimiwe lazima aolewe .