Recent content by Mr.Kipara

  1. Mr.Kipara

    Je, na Wagombea wengine wa 'Urais' nchini Tanzania nao watakuwa na 'Confidence' kubwa ya Kuongea Kiingereza na Balozi wa US kama alivyoweza Lissu?

    Hii nchi imepunguza wajinga lakini bado tuna tatizo la upumbavu..... Kiingereza ndio kitu gani.....! Tunahitaji mtu atakayeweza kutuongoza sio anayezungumza kiinglishi
  2. Mr.Kipara

    Uonevu dhidi ya Waislam UDOM: Msikiti wavunjwa, wafanyakazi wanataaluma 11 wahamishwa

    Aliyebomoa ana akili nyingi sana na nitampandisha kuwa VC, leo ukijenga msikiti,kesho Romani nao watataka kuweka ekalu lao,Lutherani Anglican,waliookoka sijui wana makanisa mangapi ,Gwajima na wafuasi wake,madhehebu chungu .....kama mlishindwa kusali kwenu msitafute mtu wa kuwatatulia matatizo...
  3. Mr.Kipara

    Uonevu dhidi ya Waislam UDOM: Msikiti wavunjwa, wafanyakazi wanataaluma 11 wahamishwa

    Mimi binafsi siungi mkono kujenga makanisa na miskiti kwenye taasisi yoyote ya umma
  4. Mr.Kipara

    Sh. Bilioni 13.9 kukarabati Bombardier nchini Canada

    Ukarabati == Service , chombo chochote lazima kifanyiwe service kubwa kila baada ya kipindi fulani. Watanzania sasa kila kitu tunafanya siasa.
  5. Mr.Kipara

    Kwa mujibu wa Mamlaka ya hali ya hewa

    Wadau wetu wa hali ya hewa kwa hivi sasa Utabiri wetu wa hali ya hewa wa kila siku pia utakuwa unapatikana kwenye magazeti ya Daily News na Habari Leo. Fuatilia
  6. Mr.Kipara

    Paul Makonda alikuwa wapi Mei Mosi kwa mkoa wa Dar?

    alimtuma mama yake mlezi magge 6 amuombee msamaha kuhusu vyeti fake
  7. Mr.Kipara

    Mama Sitta siamini umefikia hatua ya kuwatetea waliovunja sheria za nchi

    Kughushi nyaraka ya serikali ni kosa la jinai.......na kanuni za utumishi zipo wazi kwenye hili,tusikubali kutetea upuuzi kwa maslahi yetu binafsi kila siku tunapiga kelele kuhusu D.A.B leo tumeguswa sisi tumekuwa wachungu....hapa ulitakiwa kuandika walichofanyiwa watumishi wa umma kifanyike na...
  8. Mr.Kipara

    Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA, Edward Lowassa ndani

    Sitaki kukumbuka kilichowai semwa na Dr.Silaa na Mbowe kuhusu Mzee wa Mafuriko
  9. Mr.Kipara

    UKAWA waita Wahariri, waahirisha ghafla na kuomba radhi

    ukiona kitu kimehairishwa mara tatu,tafakari kuna nini nyuma yake.......tuache ushabiki wa mkumbo........UKAWA kuna tatizo......Profesa anataka kwenda magogoni na Dr pia anataka. :fencing:
  10. Mr.Kipara

    Kazi za Kiongozi Mkuu wa ACT-Tanzania

    Mleta uzi ni chadema,:msela:
  11. Mr.Kipara

    Mishahara mipya ya walimu 2015/2016

    source tafadhari,kama hakuna source huo uzi si wa kweli....................:ranger:
  12. Mr.Kipara

    Naapa kwa hili sijawahi kuliona kwa wazungu

    Hawa ndo wanaosema Ulaya hakuna ombaomba
Back
Top Bottom