Moja ya changamoto ambazo zinasumbua biashara ndogo ni imani ambazo wafanyabiashara wanazo. Kuna dhana moja ipo kwenye mitaa yetu kwamba kuna watu ambao ni chuma ulete. Watu hawa wanapokuja kwenye biashara yako na kununua kitu, ukiwarudishia chenchi basi baadaye wanahamisha fedha zote kwenye...
Mimi nakushauri usihandaike kujipendekeza sasa sana omba Mungu upelekwe Primary coz kuwepo msingi. utapata fursa nyingi sana kubwa ni muda wa ziada kufanya mambo yako
Ipo mitizamo mingi kuhusu Uongo katika Mahusiano
Ni jambo zuri kuwa mkweli katika mahusiano ya kimapenzi au ndoa lakini kuna muda UONGO unahitajika ili kuimarisha mahusiano. Siyo kija jambo unapaswa kumweleza mwenzako ukweli changanya hapo na uongo kidogo.
Kwa Mfano 1. Umetongozwa na best wa...
Kufanya au kupiga punyeto, ni tendo la kutomasa sehemu zako mwenyewe za siri ili kujisisimua kimapenzi.
Kwa hivyo katika kupiga punyeto hamna hofu ya kuambukizwa magonjwa yanayosambazwa kupitia ngono, kwani haimshirikishi mtu mwengine.
Punyeto ni toshelezo kamili la kimapenzi kama utatumia...
Siku si nyingi tumeshuhudia baadhi ya wakuu wa shule 10 za Mwisho kupewa adhabu ikiwemo ya kuondolewa katika nafasi za kuwa wakuu wa shule.
Swali langu ni Je, kitendo hicho ni sahihi? Je, tofauti ya shule kumi za mwisho ni ipi ikilinganishwa na shule 200 za mwisho??
Siku si nyingi tumeshuhudia baadhi ya wakuu wa shule 10 za Mwisho kupewa adhabu ikiwemo ya kuondolewa katika nafasi za kuwa wakuu wa shule.
Swali langu ni Je, kitendo hicho ni sahihi? Je, tofauti ya shule kumi za mwisho ni ipi ikilinganishwa na shule 200 za mwisho??.
#NAWAHURUMIAAA .
nimeumia lkn naamini kuna watu wameumia zaidi.
#KUBENEA utaandika nini kakaangu mana uliandikaga lowasa ainunua act kwa mil 200,uliandikaga ZITTO anatumiwa na fisadi lowasa.je Leo utaweza kuandika aliofika nao bei na utatueleza ni kiasi gani?..uliandika makala kibao...
Huwezi kuziongelea siasa za Tanzania bila kulitaja Jina la Freeman Mbowe.
Mbowe ni kati ya wanasiasa ambao wanaishi katika misingi ya siasa za kibiashara.
He is businessman turned politician and he's not shy away from controversy. He thrives on political controversy and challenge.
Mbowe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.