Ni sahihi kuwaadhibu wakuu wa shule 10 za mwisho?

Mr. Kims

Member
Oct 8, 2014
11
21
Siku si nyingi tumeshuhudia baadhi ya wakuu wa shule 10 za Mwisho kupewa adhabu ikiwemo ya kuondolewa katika nafasi za kuwa wakuu wa shule.

Swali langu ni Je, kitendo hicho ni sahihi? Je, tofauti ya shule kumi za mwisho ni ipi ikilinganishwa na shule 200 za mwisho??
 
Afu ni uelewa tu ingawa elimu yao ni ya kuunga haiwezekani shule zote zikawa 1 lazima 10 iwepo hata kama zote zingefaulisha kwa asilimia 100% lazima matokeo yangepangwa kwa kimtirirko wa shule 1 na kuendelea au zote zingeambiwa 1....
 
Haijalishi mkuu fact sio tu za mwisho bali zimefanya vibaya japo pia sioni mantiki ya kuwaadabisha wakuu wa shule wakati serikali pia ina mkono wake kwa u ovyo ovyo wa elimu ,sijui nae waziri wa elimu nae awajibishwe?
 
Back
Top Bottom