Kushughulikia Wakuu wa shule 10 za Mwisho ni halali au kuwaonea??

Mr. Kims

Member
Oct 8, 2014
11
21
Siku si nyingi tumeshuhudia baadhi ya wakuu wa shule 10 za Mwisho kupewa adhabu ikiwemo ya kuondolewa katika nafasi za kuwa wakuu wa shule.

Swali langu ni Je, kitendo hicho ni sahihi? Je, tofauti ya shule kumi za mwisho ni ipi ikilinganishwa na shule 200 za mwisho??.
 
Back
Top Bottom