Mimi ni mmoja wa waathirika wa Bado z 11 nimenunua hizo simu mbili kwa ajili ya familia yangu lakini moja network inakuja na kupotea ila nyengine imeweka x kabisaa tokea nimenunua hali leo hii,
Kama kweli mama yake le mutuz ndiyo ameishi maisha dhiki hivyo ni jambo la kusikitisha sana lakini tuna kitu cha kujifunza kuhusu kuwajali wazazi wetu ambao Walipata tabu nyingi sana kwa ajili yetu,,
Hili tatizo la waganga wa kienyeji ni kubwa sana na lina madhara makubwa kuliko unavyofikiria jana tumemzika mama mmoja hivi ambe aligundulika kuwa ana kansa ya kizazi lakini alidanganywa na mganga mmoja kutoka kigoma kuwa atampa dawa dawa na atapona ampe laki tano na shart la dawa zake ni kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.