Behaviourist JF-Expert Member Apr 8, 2016 39,925 95,582 Feb 11, 2017 #1 Linapokuja suala la mapishi sisi wanaume siyo watu wa mchezomchezo kabisa!! Attachments Insta-image-1.jpg 22.1 KB · Views: 73
dem boy JF-Expert Member Nov 4, 2016 6,510 15,633 Feb 11, 2017 #3 Jamaa anataka kukipasua hicho kimtungi cha gesi
goldie ink JF-Expert Member Oct 6, 2016 5,634 9,140 Feb 12, 2017 #6 Aina gani ya unga anaopikia ugali....
John Cannor JF-Expert Member Jun 6, 2016 1,464 1,824 Feb 12, 2017 #7 goldie ink said: Aina gani ya unga anaopikia ugali.... Click to expand... Udaga, karibu binti ujumuike nasi.
goldie ink said: Aina gani ya unga anaopikia ugali.... Click to expand... Udaga, karibu binti ujumuike nasi.
Upepo wa Pesa JF-Expert Member Aug 8, 2015 21,532 34,911 Feb 12, 2017 #8 Mwanaume wa dar akila huo ugali haamki siku mbili
Behaviourist JF-Expert Member Apr 8, 2016 39,925 95,582 Feb 12, 2017 Thread starter #11 Upepo wa Pesa said: Mwanaume wa dar akila huo ugali haamki siku mbili Click to expand...