Aibu: Umeme wakatika uwanjani wakati mechi ya Simba na Jang'ombe ikiendelea.

chakii

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
20,388
24,947
Ni huko Zanzibar! Aibu hii tunaificha vipi.

TANESCO Mpo?
 
Unakimbilia wapi mkuu huna breki? Hata timu zinazocheza huzifahamu kumbe?
 
Aiseeee. Yaani usiombe kuangalia mechi na demu ambaye hajui hata timu gani zinacheza. Mleta mada ni mmoja wapo
 
Lengo lahuyu jamaa ni kutaka kupata matokeo, mpeni matokeo jamani km ni sawa km ilivyokuwa yanga Vs azam basi msaidie
 
Aiseeee. Yaani usiombe kuangalia mechi na demu ambaye hajui hata timu gani zinacheza. Mleta mada ni mmoja wapo
Naona umepata upenyo wa kunitusi mkuu, alafu nikadhani yule kada marehemu aliekuwa anatusi watu kule Facebook ulikuwa wewe! Kumbe we bado upo
 
Aiseeee. Yaani usiombe kuangalia mechi na demu ambaye hajui hata timu gani zinacheza. Mleta mada ni mmoja wapo
Ifike mahali nyie magamba mkaona aibu, ligi ni ya mapinduzi cup iweje uzimwe umeme wakati mechi ikiendea? eti ndio mapinduzi ya miaka 53 kwa tanganyika kuikalia zanzibar kimabavu.
 
Ifike mahali nyie magamba mkaona aibu, ligi ni ya mapinduzi cup iweje uzimwe umeme wakati mechi ikiendea? eti ndio mapinduzi ya miaka 53 kwa tanganyika kuikalia zanzibar kimabavu.
Aibu tupu mkuu
 
Ni tatizo la kiufundi la uwanjani pale pale, sio kukatika kutoka Tanesco. Ndio maana jukwaa kuu taa zilikuwa zinawaka, hata zile za uwanjani baadhi zilikuwa zinawaka baadae zikazima zote. Sasa mtoa mada umekurupuka tu angalau ungejua hata timu gani zinacheza basi, ungetulia kumsikiliza mtangazaji au ungesoma ubao wa matokeo juu ya screen
 
Back
Top Bottom