SAUTI YAKO
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 2,944
- 2,030
Wakuu,
Kabla ya tarehe kumi na sita simu feki kuzimwa nilijihami na kwenda kwenye moja ya vituo vya airtel hapa nchini na kununua simu yao ya promosheni ya bravoz11.
Ajabu leo ni zaidi ya wiki pale kwenye network pameweka x na tatizo la x sio peke yangu ni watu wengine pia maana nilipofika pale ofisini kwao nilikuta watu wengine waliouziwa simu hizi wakija kulalamika pia.
Sasa ni wiki siko hewani,naombeni ushauri nini nifanye nipate haki yangu maana simu hii ilopigiwa promo kuwa ni original naona inazidi kunipa stress.