hiyo software inahitaji net toka hotspot au modem nyingine isiyo ya huawei.
kama haikubali basi modem yako itakuwa dead completelly.
yangu ukichomeka inamweka mweka kama kawaida,haisomi port wala haikubali kuingia project mode.
nikitumia hiyo hisilicon inadetect port pia dashiboard ya huawei...
Wakuu nimebrick modem yangu e303h-1 (ipo half dead) baada ya kuweka firmware isiyo yake, sasa haidetect com port ila nikitumia Hisilicon firmware writer com port zinaoneka fresh tatizo nashindwa kuwrite kwa kukosa credit.
Kama kuna namna ya kubypass au software mbadala naomba msaada wenu.
CC...

VODA WAMEANZA KUGAWA LINE ZA 4G LTE
Wanabodi Jana nilienda kuswap line yangu ya voda, baada ya kupewa line mpya nikaitia mfukoni maana nilikuwa na majukumu mengi.
Nilipo pata mda ndiyo nikaiweka kwenye handset ila nilichogundua hii line ni tofauti na nyingine maana yenyewe ina rangi ya pink...
Itakuwa ni Tunnel guru na jamii zote za http(s) tunnel na hata proxy.
Hapa jamaa ameshataja ni mtandao gani wenye chochoro hivyo usitegemee kama itadumu maana inaning'inia padogo tu.
Jamaa watapiga pini mda wowote na watu watakuja kulalaikia Fweza zao hapa mda si mrefu.
Mimi nina 4g ya tigo nimetumia kwenye xperia Z2 but majanga speed haivuki 400KBps tena nime enable lte only.
Hapo ni Manzese Dsm Kaka.
Njoo halotel kitu kinapanda hadi 2MBps download speed.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.