Mkuu emu eleza hali ya modem ilivokua na umefanikiwa vipi?
Je ni huawei Hi link ipi? ya Vodacom(E303s-1) au Airtel(Huawei E303h-1)?
Nimefanikiwa kwa Huawei E303h-1...nimefuata maelekezo ya jamaa nikaload firmware ghafla nkashangaa window imaanza kuinstall driver yenyewe na kuchek ktk drivers mgmt nakuta modem ipo poa...nitajaribu kuiunlock upya then ntatoa feedback
leo nimeweza ku siwtich prosject mode from Web UI to serial port ila nilipoi flash kwa kutumia ile Firmware ya Tigo Huawei e303h-1 ndo imekua safari yake ya kuelekea mbinguni haisomi tena port wala haisomi tena kwenye Web
so to say nime brick tayari
jaribu hii download driver hizi hapa http://dl.dropbsox.com/s/3elrp71t6ahqywc/Huawei-HiLink-Drivers.zip na firmware yake hii http://dl.dropbox.com/s/bm2v29mjoe75dda/E303HiLink11.010.06.02.910.exe na huawei code generator http://dl.dropbox.com/sh/62diqnnlhmohygt/HwJUFNnQ8H/Huawei e372/Huawei Unloker.zip extract then install driver kisha connect modem yako then install hiyo firmware kisha ukimaliza jaribu
Mkuu naomba unielekeze jinsi ya kuswitc project mode from web Ui modem ya Air tel hi link
Wakuu nimebrick modem yangu e303h-1 (ipo half dead) baada ya kuweka firmware isiyo yake, sasa haidetect com port ila nikitumia Hisilicon firmware writer com port zinaoneka fresh tatizo nashindwa kuwrite kwa kukosa credit.Niko nazo mbili Huawei E303s-1 na Huawei 303H-1 zote hazisomi port
mimi pia ninayo mkuu kama hutajali eka link ya hio software kama sio bei ghali naweza nunua hizo credit na kutestWakuu nimebrick modem yangu e303h-1 (ipo half dead) baada ya kuweka firmware isiyo yake, sasa haidetect com port ila nikitumia Hisilicon firmware writer com port zinaoneka fresh tatizo nashindwa kuwrite kwa kukosa credit.
Kama kuna namna ya kubypass au software mbadala naomba msaada wenu.
CC: Mwl.RCT Njunwa Wamavoko Chief-Mkwawa gkiwango CalvinPower
Huawei HiSilicon Firmware Writer - DC-unlockermimi pia ninayo mkuu kama hutajali eka link ya hio software kama sio bei ghali naweza nunua hizo credit na kutest
zile link zako ulizoeka nilijaribu zote hazikufanya kazihuawei firmware writer zipo nyingi tuu zingine za bure
yangu hai detect
mkuu hizi zetu ziliflashiwa na firmware tofauti na modem zikabrick,Kuna thread umu 2likua 2nazungumzia na njunwa nafikiri chief unakimbuka, ckuandika feedback2, n kwamba izo modem unlock attempt zimewekwa zero makusudi, hakuna software kwa kipindi icho nliojaribu ikaweza ku reset, ila ka imedead itabid uiflash na firmware fulan ya india kisha install dashboard manually kwenye window 7, window 10 itaiconnect bila dashboard.
hapana haziwezi fungiwaChief hivi sisi tulio root simu zetu hatuwezi kuwa wajanga wa TCRA hiyo trh 16?
hapana haziwezi fungiwa