[U]SOUND DRIIVER YA WIN 7 MSAADA[/U]

Mr IQ

JF-Expert Member
Jun 23, 2015
905
1,059
Wakuu habari z saiv natumia desktop ya dell na nime install windows 7 lakini kwnye sauti pale pana alama ya "X"
Nimejaribu kutumia driiver hizi lakini mambo n yale yale
1.Realtek hd aiudio 2.9
2.Realtek auidio definifiniitiion 4.s
3. Audio max drive
4.Online
But I fail help me plz
 
1. desktop ina spika? kama haina usihangaike haitatoa sauti

2. driver haziekwi random tu unatakiwa uweke exactly driver ya machine yako. full name ya hio desktop yako ni ipi?
 
Tuambie unatumia dell ipi ili tukupe link ya hizo driver pia ujue hizo machine mpaka uwe na speaker 5ya nje au subwoofer
 
1. desktop ina spika? kama haina usihangaike haitatoa sauti

2. driver haziekwi random tu unatakiwa uweke exactly driver ya machine yako. full name ya hio desktop yako ni ipi?
Dell optplex pentiam 4
 
Wakuu habari z saiv natumia desktop ya dell na nime install windows 7 lakini kwnye sauti pale pana alama ya "X"
Nimejaribu kutumia driiver hizi lakini mambo n yale yale
1.Realtek hd aiudio 2.9
2.Realtek auidio definifiniitiion 4.s
3. Audio max drive
4.Online
But I fail help me plz
Iyo sio issue ya driver. .I gues ni audio service imestop. .utaweka driver zote hata pack haitosolve
 
Mr IQ, Ebu jaribu kuweka hata Earphone tu uone kama itatoa sauti na kile ki icon cha Speaker kitabadilika na kuonyesha kuwa speaker ipo connected?
kama Earphone itatoa sauti basi huna haja ya kusumbuka kutafuta drivers kwani tayari pc yako ina driver ila Hardware (Yaani speakers) ndio hamnaaa.
 
Nimeweka earphone kwny speaker but amna kilicho ditect na nina play music sautii haitok bado nikiienda kwny icon y x inaleta troubleshut then ina fail kuditect
 
Asanteni kwa miiichango yenu nisha ipata sauti hahahaha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom