Recent content by Mr JM

  1. Mr JM

    JamiiForums Tanzania Nimedisco baada ya kukamatwa namfanyia mtihani Mwanafunzi mwenzangu

    Pole sana my young brother ila hakika hutakiwi kujutia upuuzi uliofanya moves on, subiri nikwambie kitu wewe hapo ulipo unadegree kasoro cheti(makaratas) sabab ushafanya had final elimu IPO kichwani tayar sio hayo makaratas unayojilizaliza na kujutia relax hayana mpango wowote incase...
  2. Mr JM

    JamiiForums Tanzania Natafuta Jina la Kituo cha mafuta

    Metro oil/pretolium station/filling & Service station
  3. Mr JM

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa bei ya 'Memorycard' kwa Jiji la Dar es Saalam

    Ushafanya biashara nae
  4. Mr JM

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa bei ya 'Memorycard' kwa Jiji la Dar es Saalam

    Tumechat fresh mwisho katokomea nilitaka niweke kwenye kibanda cha mpesa nichukue earphones za kutosha maana aliniambia bei nzur kweli uzuri nilitaka nione picha halafu nichukue kwake kwa bei ya jumla so angepata maslahi pia ila sikumuelewa kakausha na aliniambia akirudi maskani jioni nikamtext...
  5. Mr JM

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa bei ya 'Memorycard' kwa Jiji la Dar es Saalam

    Wee jamaa nilikuambiaga unitumie picha ya earphones unazouzaga PM kimya paka kesho
  6. Mr JM

    JamiiForums Tanzania Ushauri wako tafadhali, ni fursa gani za biashara zinapatikana nyanda za juu kusini?

    Mbeya unaweza kufanya biashara ya Mchele Wa kyela peleka mikoani,biashara ya nguo chukua Kariakoo, electronics an phone accessories,nenda chunya migodini kaangalie fursa, iringa biashara ya mbao ingia porini
  7. Mr JM

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Sikuhizi tukidundwa nacheka sana hv nashindwa kuelewa tumerogwa ama yaan ukuta wetu ni takataka dah halafu nashindwa kumuelewa griezman anachezaga nini why tusimuuze hata wolves yaani tunamuacha Suarez tunambakiza braithware dah tunapitia wakati mgumu sana karaha ilioje
  8. Mr JM

    JamiiForums Tanzania Biashara ya dagaa

    Hv wabongo tunafeli wapi weka bei kwa kg au gunia watu wanyooke agggh ntajuaje unauza kg laki
  9. Mr JM

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    Kama ni NNE wanakuibia huwa zinakuwa vinet 3 debe 3*3 jumla debe 9 kwa 50 k ndo bei zake sa hv
  10. Mr JM

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    hahahahah hapana boss lile dude nimetumia gunia LA katani
  11. Mr JM

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    Mbona nimechukua this week 40,000 shambani karatu sokon inacheza 75000 boss
  12. Mr JM

    JamiiForums Tanzania Jinsi gani nitamueleza baba mkwe wangu ili niepukane na karaha za kelele zake za kupiga Mswaki?

    Hio kawaida paka Leo hata sijui maana hata mshua wangu alikuwa akipiga mswaki anakuwa hivyo nahis ni mazoea
  13. Mr JM

    JamiiForums Tanzania Fursa ya biashara kwa sisi wa Uswahilini

    Huku kwetu unakula ugali mboga saba kwa buku
  14. Mr JM

    JamiiForums Tanzania Kala mtaji kutoka milioni 1.5 sasa hivi kabakiza 8000 tu

    Biashara sio rahisi kabisa kaa nae chini umsikilize mwanzo mgumu ndugu watu wanafilisika mamilioni sembuse kamilioni ili biashara uijue nje ndani utapitia ups and down nyingi so mvumilie msikilize kilichomsibu kuna maswala ya hasara then ufanye maamuzi.
  15. Mr JM

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Upo wapi
Back
Top Bottom