1.Nipe list 3 wa Brokers wauhakika
2.Nimuda gani sahihi wa kununua hisa? Binafsi nina account ya DSE ila sina elimu ya kutosha ya kuanza kununua hisa. Nasubiri zishuke ninune au nifanyaje?
3.Kipi nianze kati ya kununua Hisa, Hati fungani au UTT?
Hii nchi kila mtu anamaamuzi yake.. ukitaka mwanao akalale likizo sawa tu, ukitaka abaki shule sawa tu.. ukitaka awe mtoro sawa tu.. ila mwisho kuna kufeli na kufaulu..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.