Recent content by Mr Global

  1. Mr Global

    JamiiForums Tanzania Physics principal inasema sio goli, sawa Yanga!

    Tuliosoma physics tunasema Lile sio goli, kutokana na principal za physics...kama mpira ungezama wote possibility ya mpira kurudi uwanjani bila kugusa nyavu ni 0%
  2. Mr Global

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    sana na sanaa ni maneno mawili tofauti
  3. Mr Global

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

  4. Mr Global

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Ulijali ni kimoja chali
  5. Mr Global

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Mamylove ndio umeamua kunibwaga kisa sina kitambi
  6. Mr Global

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, Inawezekana kuishi bila kupiga punyeto mpaka umri wa miaka 40 and above???

    Punyeto ni stage katika ukuaji... Usipoipiga ujanani utaipiga uzeeni Naomba kuwasilisha
  7. Mr Global

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

    Ukisikia yalaaah... Ujue dongo ulilotupa limempata muhusuka
  8. Mr Global

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

    Ha ha ha ha
  9. Mr Global

    JamiiForums Tanzania Je, Ujasusi wa Nchi za Magharibi waweza kuwa moja ya ujasusi wakutisha zaidi ktk Karne ya sasa?

    Kama imeegemea upande mmoja hii Hadith yako
  10. Mr Global

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna mahusiano gani ya moto na hili balloon?

    Kinachofanyika ni kuichoma Ile hewa ya ndani Ili iwe nyepesi(iwe na density ndogo kuliko density ya hewa ya nje) Na matokeo yake Lile puto ndio linapaa Nimekuelezea katika lugha nyepesi Kama Bado mtafute dogo wa form 2 akupe darasa
  11. Mr Global

    JamiiForums Tanzania Kwa mshahara huu, nitaishi vipi Dar?

    Akisave 150 hatakula nini sasa?
  12. Mr Global

    JamiiForums Tanzania Shule na wanafunzi 10 bora mwaka 2021

    Hivyo vichwa vinaandaliwa kuajiliwa tu...ukiviacha vijitegemee vyenyewe vinakufa Ila sisi wa div 4 na 3 ndio tunalisha nchi wap MO29, bakharesa, GSM......NIENDELEEEE
  13. Mr Global

    JamiiForums Tanzania Shule na wanafunzi 10 bora mwaka 2021

    Leo ndio nimepata sababu kwanini taifa alisongi
  14. Mr Global

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    World ndio dunia kwa kiswahili
  15. Mr Global

    JamiiForums Tanzania Kozi ngumu, ajira hakuna

    Kweli Mkuu..ila sie tupo kwenye nchi zinazoendelea ndio shida
Back
Top Bottom