Recent content by mr.general

  1. mr.general

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wana majibu ni balaa

    Nomaaaaa
  2. mr.general

    JamiiForums Tanzania NATAKA KUAGIZA MZIGO CHINA,ILA NASHINDWA KUFANYA MALIPO

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,mimi kijana mwenzenu nimelenga kujilipua kwa kuagiza mzigo kutoka china kwa mara ya kwanza,hivyo basi naomba munielekeze namna ya kufanya malipo. natanguliza shukrani za dhati
  3. mr.general

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Nyuma ya mlango wa adui

    Noumaaaaa
  4. mr.general

    JamiiForums Tanzania Dhana ya kurushwa na umeme ukweli ni huu!

    Nifundishe umeme mkuu
  5. mr.general

    JamiiForums Tanzania Namtafutia mwanangu nafasi ya shule ya serikali form one 2025

    Mzumbe vipi nikupe namba ya mkuu wa shule?
  6. mr.general

    JamiiForums Tanzania Angalieni wenyewe Tanesco wanavyofanya kazi

    Tumia solar ndugu
  7. mr.general

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa wanapouza chaja za simu

    Naomba kujuzwa wanapouza chaja za simu kwa bei ya jumla,kwa ajili ya biashara yangu. Nisaidieni kunijuzwa chimbo wanalouza charger za simu. Shukrani
  8. mr.general

    JamiiForums Tanzania Moja ya maziwa mtindi bora kabsa kwa sasa

    Yanauzwaje jumla
  9. mr.general

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bahati haiji mara mbili..

    😂😂😂😂😂😂😂😂Karibu chamani mkuu
Back
Top Bottom