Recent content by Mr. G

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mwigulu ni almasi ya Tanzania

    Sijaonekana jf kwa siku nyingi, anyway. Hivi ulidhani ingebadilike? Ni ile ile Jana leo nakesho brother.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Coronavirus, Tanzania: Shule zote kuanzia za Awali, Msingi na Sekondari zafungwa. Mikusanyiko ikiwemo ya Kisiasa yasitishwa

    Elimu ya juu mamlaka wanazo wenyewe, nadhani nao watafunga soon! Sent using Jamii Forums mobile app
  3. M

    JamiiForums Tanzania Coronavirus, Tanzania: Shule zote kuanzia za Awali, Msingi na Sekondari zafungwa. Mikusanyiko ikiwemo ya Kisiasa yasitishwa

    Kwani waziri mkuu ni wa mkoa au wilaya!!!! Sent using Jamii Forums mobile app
  4. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuchangisha Milioni 350 ni maigizo na fedheha

    Huyu hajui alisemalo, Mungu amsamehe bure. Waliomuua Akweli wewe huwajui kweli? Hiyo silaha nani? Sent using Jamii Forums mobile app
  5. M

    JamiiForums Tanzania Namna ya kuchangia faini ya Tsh. Milioni 350 waliyohukumiwa kulipa Viongozi wa CHADEMA

    Ndio ni milioni 350. Mbowe pekee sh.milioni 70 Sent using Jamii Forums mobile app
  6. M

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa Taifa | Dar Derby, Vodacom Premier League (VPL) Yanga SC yaibamiza Simba SC kwa goli 1 - 0 ; Morrison akata mzizi wa fitina

    Mchukue na pia siyo ushindi tu. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mnyika: Spika ameonyesha upendeleo, na kanuni hazimpi mamlaka ya kunifungia bunge

    Si tulikuwa tumefunga vioo mjengoni???!!! Ninyi mmeonaje vya ndani???
  8. M

    JamiiForums Tanzania Maoni ya watu wa nje kuhusu kutimuliwa kwa wafanyakazi 10,000 wenye vyeti feki

    Bila shaka Lizaboni anaugulia maumivu ya vyeti feki
  9. M

    JamiiForums Tanzania Lissu: Msumeno wa JPM ni butu, inakuwaje kubwa la Mabashite linaachwa?

    Mkuu unataka kumaanisha kuwa Bashite ni kiranja mkuu wa wizara zote nawala si mkuu wa wana wa bandari salama??? Tumekwisha!!!!!!!!!!
  10. M

    JamiiForums Tanzania AIBU YA MTU MWEUSI: Chama Cha Siasa Kuwa Omba Omba Kwa Wazungu Ili Kupata Pesa !!!

    Umesahau kuwa chama chenu kinawndeshwa kwa miradi mliyoiteka kwa watanzania kama vile viwanja vya michezo, kumbi mbalimbali na hata shule, Mali iliyopatikama kwa kodi ya watanzania wore wakati wa chama kimoja!!! Use unatafakari kabla ya kuposti!
  11. M

    JamiiForums Tanzania Sielewi kwanini Mbunge wetu Godbless Lema anasota rumande licha ya kuwa na wanasheria wabobezi

    Sheria gani inayoizungumzia wewe? Kwani Lema kafanya kosa gani zaidi ya ubabe wa wenye dola?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Raha ya wanawake wafupi

    Mwambe aje PM utwoii
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mara ya Nne leo nalishwa na Mungu. Miujiza na Mungu yupo

    Hiyo ndo unaiita kulishwa na mungu
Back
Top Bottom