CHADEMA kuchangisha Milioni 350 ni maigizo na fedheha

Hiyo hela CHADEMA kama chama ni kiduchu sana hawawezi kukosa. Mbali na hivyo wahusika wote kwenye hukumu hiyo ni vigogo ambao hata kama wangehukumiwa kulipa mil 100 kila mmoja, bado wasingeshindwa kulipa kutoka kwenye mifuko yao. Wanachojaribu kufanya sasa hivi ni kutafuta hela ya ku-top-up, ambacho ni kitu chema pia,msaada wa baraka kuotka kwenye public. Hivi hizi hela ndiyo zinaweza kuwa ni malipo kwa familia ya Akwilina au ni za Serikali moja kwa moja?
Lazima wabaki na akiba, sababu kesi zina andaliwa kila siku ili kukiua chama.
 
LUQMANN ni roho mbaya kuuliza kwa nini mtu mmoja anajitoa kumchangia mwenzie ambaye ni wazi wewe humpendi mchangiwaji!NENO NI HILI wachangaji siyo wajinga na wachangiwaji siyo maskini wala WEWE huna akili sana ujue ni kwamba umefuta ujinga tu,na unahitaji kusoma zaidi na zaidi.
 
Siamini na hainiingii akilini wanasiasa wote wale na mali wanazomiliki wameshindwa kulipa hizo pesa za hukumu.

Ninachokiamini hawa jamaa wanajaribu kutuaminisha wao ni wanyonge na masikini kwahiyo waonewe huruma.

Shangingi 2 zinatosha kutoa hio pesa, hakukuwa na sababu ya kuomba michango kuongopea watu nyie ni maskini.

Mimi sio na sitaki kumsemea hakimu ila nnachojaribu kusema wabunge zaidi ya 8 (wanaopokea 7M per month) kutoka chama kinachopokea ruzuku na misaada ya nje kuchangisha M350 ili kuwin the public ni fedheha kubwa.

Hio nguvu ya kuchangisha tunaomba waianze kwenye shughuli za maendeleo kwenye majimbo yao yaliyotelekezwa.

Usijibu kwa hisia nchi yetu sote,pande zote zinaweza kukosea.
Ahsante.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeingiwa na uwendawazimu? Kwani wamekuomba?

Wananchi ndio walioamua kuwachangia. Wewe unaumwa na nini? Hawajakuomba na wala hawahitaji mchango wako. Wananchi wameamua kuwachangia kwa sababu yaliyowasababishia wafikie hapo hayakuwa mambo yao binafsi.

Mwombe Mungu ujaliwe hekima japo kidogo sana.
 
Kwani CCM Dar waliposema watachanga na kumchukulia fomu ya kugombea JPM unadhani JPM hana hiyo pesa ya fomu?
Siamini na hainiingii akilini wanasiasa wote wale na mali wanazomiliki wameshindwa kulipa hizo pesa za hukumu.

Ninachokiamini hawa jamaa wanajaribu kutuaminisha wao ni wanyonge na masikini kwahiyo waonewe huruma.

Shangingi 2 zinatosha kutoa hio pesa, hakukuwa na sababu ya kuomba michango kuongopea watu nyie ni maskini.

Mimi sio na sitaki kumsemea hakimu ila nnachojaribu kusema wabunge zaidi ya 8 (wanaopokea 7M per month) kutoka chama kinachopokea ruzuku na misaada ya nje kuchangisha M350 ili kuwin the public ni fedheha kubwa.

Hio nguvu ya kuchangisha tunaomba waianze kwenye shughuli za maendeleo kwenye majimbo yao yaliyotelekezwa.

Usijibu kwa hisia nchi yetu sote,pande zote zinaweza kukosea.
Ahsante.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HIII.MICHANGI YAKIJINGA MNGELIPA MADIWANI PESA ZAO WASINGEONDOKA POLN SANA POLE KAKA SUGU MBEYA UTOKI MWAKA HUU LABDA USHINDE JACKPOT
Screenshot_20200311-151905.png
Screenshot_20200311-151857.png
 
Siamini na hainiingii akilini wanasiasa wote wale na mali wanazomiliki wameshindwa kulipa hizo pesa za hukumu.

Ninachokiamini hawa jamaa wanajaribu kutuaminisha wao ni wanyonge na masikini kwahiyo waonewe huruma.

Shangingi 2 zinatosha kutoa hio pesa, hakukuwa na sababu ya kuomba michango kuongopea watu nyie ni maskini.

Mimi sio na sitaki kumsemea hakimu ila nnachojaribu kusema wabunge zaidi ya 8 (wanaopokea 7M per month) kutoka chama kinachopokea ruzuku na misaada ya nje kuchangisha M350 ili kuwin the public ni fedheha kubwa.

Hio nguvu ya kuchangisha tunaomba waianze kwenye shughuli za maendeleo kwenye majimbo yao yaliyotelekezwa.

Usijibu kwa hisia nchi yetu sote,pande zote zinaweza kukosea.
Ahsante.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha tumchangie kiongozi wetu.
Na wewe hukulazimishwa, unaweza kusepa
chama hakikuhusu
 
Ni dhahiri kabisa kwa Uwezo Wao Watuhumiwa hiyo Faini wanaza kulipa,Lakini walicho lenga siyo Kuomba Msaada bali kuonesha uminywaji wa haki ili dunia ijue.Wanatafuta Uhuruma ya Umma,Zingatia Siasa ni HESABU mkuu
Siamini na hainiingii akilini wanasiasa wote wale na mali wanazomiliki wameshindwa kulipa hizo pesa za hukumu.

Ninachokiamini hawa jamaa wanajaribu kutuaminisha wao ni wanyonge na masikini kwahiyo waonewe huruma.

Shangingi 2 zinatosha kutoa hio pesa, hakukuwa na sababu ya kuomba michango kuongopea watu nyie ni maskini.

Mimi sio na sitaki kumsemea hakimu ila nnachojaribu kusema wabunge zaidi ya 8 (wanaopokea 7M per month) kutoka chama kinachopokea ruzuku na misaada ya nje kuchangisha M350 ili kuwin the public ni fedheha kubwa.

Hio nguvu ya kuchangisha tunaomba waianze kwenye shughuli za maendeleo kwenye majimbo yao yaliyotelekezwa.

Usijibu kwa hisia nchi yetu sote,pande zote zinaweza kukosea.
Ahsante.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siamini na hainiingii akilini wanasiasa wote wale na mali wanazomiliki wameshindwa kulipa hizo pesa za hukumu.

Ninachokiamini hawa jamaa wanajaribu kutuaminisha wao ni wanyonge na masikini kwahiyo waonewe huruma.

Shangingi 2 zinatosha kutoa hio pesa, hakukuwa na sababu ya kuomba michango kuongopea watu nyie ni maskini.

Mimi sio na sitaki kumsemea hakimu ila nnachojaribu kusema wabunge zaidi ya 8 (wanaopokea 7M per month) kutoka chama kinachopokea ruzuku na misaada ya nje kuchangisha M350 ili kuwin the public ni fedheha kubwa.

Hio nguvu ya kuchangisha tunaomba waianze kwenye shughuli za maendeleo kwenye majimbo yao yaliyotelekezwa.

Usijibu kwa hisia nchi yetu sote,pande zote zinaweza kukosea.
Ahsante.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka hawajakosea au umesahau kuwa huu ndiyo mwaka wenyewe??? Huruma ya watu utaipataje kama hutumii fursa?
 
Back
Top Bottom