Sielewi kwanini Mbunge wetu Godbless Lema anasota rumande licha ya kuwa na wanasheria wabobezi

Ningekuwa mimi mkuu wa kituo ningemchanganya na majambazi sugu
Tatizo watu wenye roho mbaya kama wewe huwa hamuwezi kutoboa hadi kufika huko juu ili uanze kuonea watu.
Hitler tu ndio alipita kimazabe.
Wewe hutokwenda kokote na roho mbaya zako
 
Aiseeeee! Umewapa jibu linalotosheleza. Halafu si walisema Lema asipopeww dhamana watakinukisha? Kweli wana Arusha wameshamchoka Lema

Isipokuwa mafunzo bora ya waliotabiri kifo cha Lowasa

Mbona wako wengi na hawapelekwi kizuizini?

Hiyo sheria haipo ndo maama...

Askofu Kilain alishiba akasema kikwete chaguo la Mungu....nikweli kilaini aliongea na Mungu au aliota tu!

kinyume chake wapo waoweza ota kinyume chake....
 
Lowasa angetaka kuwapeleka hao watu Waliomtabilia kifo sheria ilikuwa inamruhusu lakn hili swala la lema ni zito kwn unapoongelea rais wa nchi ninydhifa nyingne tofauti kabisa rais hakipata tatzo kupitia matamko ya lema kunnauwezekano wa nchi kuingia kwenye machafuko na pia inaweza kusababisha mambo ambayo hayakuwepo kutokea ss bac hli swala hinabidi tuliangalie pande mbili tuclipeleke kishabiki
 
Peter Kibatala, John Mallya, Tundu Lissu na wengineo hakika ni vyombo tunavyojivunia CHADEMA. Tuliambiwa kuwa vyombo hivi vikisimamia kesi kwa hakika lazima ushindi upatikane. Nakumbuka Tundu Lissu alivyomuita Rais Magufuli Dikteta Uchwara aliwekwa rumande kwa masaa kadhaa. Hata hivyo, baada tu ya kufikishwa Mahakamani hakika ushindi ulikuwa upande wetu.

Najiuliza, nini kimetokea kwa Godbless Lema? Najiuliza pia, ni sababu gani CHADEMA tumeshindwa kuwapeleka nguli wa Mawakili kumtetea Lema? Kwa nini tumepeleka watu dhaifu ukimuoneoa John Mallya kiasi ambacho si tu wameshindwa kupambana na hoja za Serikali lakini pia wanaonesha kukata tamaa mapema? Hawa mawakili wametoka wapi?

Niwaombe sana ndugu zangu wa CHADEMA. Hatumtendei haki Godbless Lema. Hakika akitoka Jela inabidi ajiulize mara mbili. Yaani tunajisikia faraja sana kutumia nguvu zetu na uwezo wetu kisheria kuwatetea akina Denis Wilson, yule aliyemtusi Rais Magufuli? Kwa nini tumemtelekeza Lema? Nini nyuma ya pazia? Au lile andiko lake la kulaani kitendo cha CHADEMA kuwachangia fedha za dhamana wale wanaomtukana Rais? Ndo maana tumeamua kumuacha aozee Selo?

Au tumeamua kukaa kimya baada ya kuamini kuwa Lema anajikaanga mwenyewe kwa maruta yake?
Si sahihi hata kidogo

Nonsense
 
Sababu ni moja tu Mkuu DIKTETA UCHWARA. Kisheria Lema alitakiwa awe amepewa dhamana jana lakini DIKTETA UCHWARA kaamua sharia za nchi ziwekwe pembeni ili tu amkomoe Godbless Lema. Mahakama zinaingiliwa na dikteta uchwara hivyo kupoteza uhuru wake katika kufuata sheria za nchi.
Duh....
Kwa hiyo Lema ndio baaaaasi tena..... kalamba life sentence
 
Kuna sheria na Kuna maagizo kutoka juu,kitakachokuwa kinamuweka Lema gerezani mpaka sasa kitakuwa ni maagizo toka juu.
 
Sheria gani inayoizungumzia wewe? Kwani Lema kafanya kosa gani zaidi ya ubabe wa wenye dola?
 
Peter Kibatala, John Mallya, Tundu Lissu na wengineo hakika ni vyombo tunavyojivunia CHADEMA. Tuliambiwa kuwa vyombo hivi vikisimamia kesi kwa hakika lazima ushindi upatikane. Nakumbuka Tundu Lissu alivyomuita Rais Magufuli Dikteta Uchwara aliwekwa rumande kwa masaa kadhaa. Hata hivyo, baada tu ya kufikishwa Mahakamani hakika ushindi ulikuwa upande wetu.

Najiuliza, nini kimetokea kwa Godbless Lema? Najiuliza pia, ni sababu gani CHADEMA tumeshindwa kuwapeleka nguli wa Mawakili kumtetea Lema? Kwa nini tumepeleka watu dhaifu ukimuoneoa John Mallya kiasi ambacho si tu wameshindwa kupambana na hoja za Serikali lakini pia wanaonesha kukata tamaa mapema? Hawa mawakili wametoka wapi?

Niwaombe sana ndugu zangu wa CHADEMA. Hatumtendei haki Godbless Lema. Hakika akitoka Jela inabidi ajiulize mara mbili. Yaani tunajisikia faraja sana kutumia nguvu zetu na uwezo wetu kisheria kuwatetea akina Denis Wilson, yule aliyemtusi Rais Magufuli? Kwa nini tumemtelekeza Lema? Nini nyuma ya pazia? Au lile andiko lake la kulaani kitendo cha CHADEMA kuwachangia fedha za dhamana wale wanaomtukana Rais? Ndo maana tumeamua kumuacha aozee Selo?

Au tumeamua kukaa kimya baada ya kuamini kuwa Lema anajikaanga mwenyewe kwa maruta yake?
Si sahihi hata kidogo
Upuuz wake ndio unaomsotesha rumande....... unguli wa mawakili, legal advisor na wanasheria hauna mamlaka ya kutengua sheria na mawazo ya wenye sheria...... kama umeota au kuoteshwa kulikuwa na sababu gani ya kuprofess kwa jamii..... umaarufu wa kijinga na uchanga katika siasa ndio tatizo...... acha asumbuliwe ni kawaida yake kuharibu.... sa sijui kaya au hanaga washauri wa maswala yake..... ni mropokaji sana/mjuba.
 
Peter Kibatala, John Mallya, Tundu Lissu na wengineo hakika ni vyombo tunavyojivunia CHADEMA. Tuliambiwa kuwa vyombo hivi vikisimamia kesi kwa hakika lazima ushindi upatikane. Nakumbuka Tundu Lissu alivyomuita Rais Magufuli Dikteta Uchwara aliwekwa rumande kwa masaa kadhaa. Hata hivyo, baada tu ya kufikishwa Mahakamani hakika ushindi ulikuwa upande wetu.

Najiuliza, nini kimetokea kwa Godbless Lema? Najiuliza pia, ni sababu gani CHADEMA tumeshindwa kuwapeleka nguli wa Mawakili kumtetea Lema? Kwa nini tumepeleka watu dhaifu ukimuoneoa John Mallya kiasi ambacho si tu wameshindwa kupambana na hoja za Serikali lakini pia wanaonesha kukata tamaa mapema? Hawa mawakili wametoka wapi?

Niwaombe sana ndugu zangu wa CHADEMA. Hatumtendei haki Godbless Lema. Hakika akitoka Jela inabidi ajiulize mara mbili. Yaani tunajisikia faraja sana kutumia nguvu zetu na uwezo wetu kisheria kuwatetea akina Denis Wilson, yule aliyemtusi Rais Magufuli? Kwa nini tumemtelekeza Lema? Nini nyuma ya pazia? Au lile andiko lake la kulaani kitendo cha CHADEMA kuwachangia fedha za dhamana wale wanaomtukana Rais? Ndo maana tumeamua kumuacha aozee Selo?

Au tumeamua kukaa kimya baada ya kuamini kuwa Lema anajikaanga mwenyewe kwa maruta yake?
Si sahihi hata kidogo
Nadhan kuna wakti sheria haikurupushwi.
 
Back
Top Bottom