Recent content by Mr Equelizer

  1. Mr Equelizer

    JamiiForums Tanzania To be a verified user

    Asante mkuu ila naona mod hajakubali ombi langu.
  2. Mr Equelizer

    JamiiForums Tanzania To be a verified user

    Please moderator , can you turn me to a verified user. The provided personal details here below are correct . Name: David Jeremiah Profession ; teacher Email; jeremiahd58@yahoo.com The pic on my avatar is mine.
  3. Mr Equelizer

    JamiiForums Tanzania Mabeberu wamenikaribisha chakula nikakataa

    Haya bwana mkuu , tumekusoma umetumia akili kubwa
  4. Mr Equelizer

    JamiiForums Tanzania Tusikubali Wanasiasa Wapandikize Chuki Dhidi ya Polisi

    hakuna hoja hapo.
  5. Mr Equelizer

    JamiiForums Tanzania Japo Ruti ya Maandamano ya UKUTA Sio Kuelekea Direction ya Ikulu ila. ..

    we jamaa utakuwa mnafiki tu.....
  6. Mr Equelizer

    JamiiForums Tanzania Rate President Magufuli on democratic principles

    does he uphold the rule of law and principle ? the answer is no.
  7. Mr Equelizer

    JamiiForums Tanzania Jambo muhimu sana kuelewa, kwa ndugu Magufuli, UKAWA na watanzania wote

    we jamaa hovyo kabisa.
  8. Mr Equelizer

    JamiiForums Tanzania Nimekataa kumpongeza Mrisho Gambo

    Kuna siku uliandika hoja humu ukanivutia kiasi , nikatamani nikufahamu zaidi. Lakini kwa hiki ulichokiandika leo sina haja tufahamiane zaidi tena.
  9. Mr Equelizer

    JamiiForums Tanzania Ukiona kiongozi wa nchi anawachonganisha askari na wananchi ujue ana lake jambo.

    Mtoa mada kama vile unataka kujua kuandika ukweli..........
  10. Mr Equelizer

    JamiiForums Tanzania Lusinde: Wapinzani wanaoenda kumuona Spika ni wanafiki, wanamchonganisha na Naibu Spika

    hizi ni chuki, hazitufikishi popote.
  11. Mr Equelizer

    JamiiForums Tanzania Mwenge wamtia matatani DC Mwanza

    Jamani Tz.
  12. Mr Equelizer

    JamiiForums Tanzania Hongera Patrobas, ila umenielewa vibaya

    Juliana, binafsi sikufahamu kabisa zaidi ya kusoma maandiko yako humu jukwaani . Uandishi wako wa leo umenifanya nitamani kukufahamu zaidi. Nataka kuamini kuwa wewe ni moja kati ya mabinti mliojaliwa vipaji na mwenyezi Mungu. Kwa sasa niko kijijini navuna viazi vyangu nikija mjini nitakutafuta...
  13. Mr Equelizer

    JamiiForums Tanzania Kuiombea Nchi Amani Pasipo kusisitiza Haki ni Kupoteza Muda Wetu Bure!!

    Hata mimi huwa nashangaa kwa nini watu wengi huwa hawasisitizi haki itendeke, wengi hupenda kusema amani idumishwe. Nadhani hapa kuna kaunafiki kamejificha.
Back
Top Bottom