Nimekataa kumpongeza Mrisho Gambo

Nimekataa kumpongeza Mrisho Gambo

Yaani mwenye sifa zote ulizomwaga hapo ni mtu unayekiri kuwa haumfahamu! Naomba basi unielekeze kitabu kinachomuhusu kinaitwaje ili na mimi nimfahamu kupitia historia yake!

Mkuu asante , huyo ni mnafiki na mwenye Phd ya kutunga uongo.
 
hongera mbunge wa vitu maalumu. ingawa maneno meengi lakini ni uwongo wa mchana kweupe....
 
CCM bwaaaaaana LOWASA tu ndio fisadi kwao hapa tu ndio uwa nashindwa kuwaamini kabisa na sitaweza kuja kupiga kura kwa mtu yoyote wa CCM wala sitaweza kuja kujitolea kwa kitu chochote kwa CCM mana ntakuwa nafanya unafiki na mimi sio mnafiki majizi yamejaaa uko kama yule wa bariadi, wale wa ESCROW, chenji ya radar, nyumba za serikali, lugumi at least wangekuwa wanayataja na mengine kama wanavyomtaja LOWASA ningekuwa na imani ila wao fisadi lowasa wakati kuna wakina lowasa umo na zaidi ya lowasa kibao.

Mkuu mimi nimekuelewa
 
Kama makonda nikijana makini basi ujui maana ya makini tafta neno makini kwenye kamusi ya kiswahili mleta Uzi
 
dio maana tulimtimua BAVICHA kwa sababu ya kujichanganya, sasa hapo ameandika nini? au ndo kujikomba
 
Aya bhna umemaliza, nenda kachukue posho yako kwa Gambo!
 
nasikitika kuona mbunge mzima una akili kama ya mtoto wa chekechea.

Sasa wewe mwenyewe umeshasema humjui vizuri alafu unammwagia sifa kibao na kumwamini kabisa ukksema hatakuangusha.

Hii imekaaje sasa
Mkuu wala usiumize kichwa na haka kapopompo, kanajulikana mambo yake ndivyo kalivyo. Yani hapo ndo kako kwenye ubora wake.
 
Nachukia watu wanaotumia Biblia kipuuzi wakati hata theological background hawana. Naamini tukifanya DNA test tunaweza kuta huyu mtoto ni wa Mzee Makamba
 
........namwona akiwaamuru polisi kuwapiga risasi ukuta....
 
"humfahamu" lakini hatokuangusha na unampongeza sana?! Juliana tulia tu maana kila ukisema unaharibu na kuonesha jinsi ulivyo
Halafu eti ni University graduate. Shame on her. Shame on you Juliana Shonza.
 
nasikitika kuona mbunge mzima una akili kama ya mtoto wa chekechea.

Sasa wewe mwenyewe umeshasema humjui vizuri alafu unammwagia sifa kibao na kumwamini kabisa ukksema hatakuangusha.

Hii imekaaje sasa
Kumfananisha Juliana Shonza na mtoto wa chekechea ni kumpandisha hadhi. She does not deserve it cause she is not worth it.
 
This article should be satire.
The irony,eti CCM wanatoa vijana jeuri na wakuquestion the government.All they know to do ni kusema "ndio mzee".
This article should be satire.
The irony,eti CCM wanatoa vijana jeuri na wakuquestion the government.All they know to do ni kusema "ndio mzee".
Mtoa Uzi yaani bila hata aibu unaongea uongo
 
Dah kweli uandishi c uwezo wa kuumba herufi peke yake

Yan content haina logic

Humjui alafu unamwagia sifa kibao
 
Uzi wa kijinga kabisa huu hivi vijana wa ccm mnafaidika nini na mateso wanayoyapata watanzania kutokana na ujinga wa hiki chama twawala
 
Kuna mtu anapata shida na mtoa mada eti anacho kiongea ni tofauti na heading yake mi nafikiri ameshindwa yeye kumuelewa.Mtoa mada katumia heading ambayo huwezi kuielewa kama ufahamu wako umeganda Gambo kamzungumzia kama tunda au matokeo ya kazi nzuri ya ccm na uvccm so sifa hii si yake ni ya ccm kwa mana hiyo hana mana kwamba hamsifii Gambo si kweli bali anacho maanisha ni kwamba kinacho sifiwa ni kazi ya ccm na uvccm nisawa TU na pale mtu unapo Fanya jambo Jema then ukasema sifa na utukufu ni kwa Mungu
 
Kuna siku uliandika hoja humu ukanivutia kiasi , nikatamani nikufahamu zaidi. Lakini kwa hiki ulichokiandika leo sina haja tufahamiane zaidi tena.
 
Kama kweli ni jasiri mbona hakumfikisha huyo fisadi mahakamani? Ujasiri unapimwa kwa kumkataa lowassa? Kubeba tofali kwenye ujenzi ni sifa kubwa eeh!
Kwaufupi sijaona lolote dhahiri la kusifia...ungenambia ameanzisha miradi,kampuni,kuipigania elimu,afya,kilimo nk. ningehisi unatumia akili...la endelea kusifia makada hatakama hakuna cha ziada
 
Sijaona uhusiano kati ya title ya yhread na thread yenyewe......ila huyu binti CCM ni kama.ndoa yake na CHADEMA ni mchepuko wake. Sad thing like in real life ana spend muda zaidi na mchepuko kuliko ndoa yake!
 
Back
Top Bottom