Recent content by Mr. Django

  1. Mr. Django

    Jamani natafuta apple acid vinegAr

    Aliyesmhauri alikuwa muuaji kabisa! Glass nzima ya vinegar!!! Na hapo ndo umuhimu wa kusikiliza wataalam unapokuja. Hawa makanjanja mtaani ni tatizo sana.
  2. Mr. Django

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Horse, run for your life
  3. Mr. Django

    Tunaomaliza mwaka bila sex wala mahusiano tujuane

    Mmmhhh!! I thought sex was one of the body's biological needs! Anyways, a lot of things are now changing or being questioned. All the best in satisfying yourself
  4. Mr. Django

    Kipanya: Broo! Hiyo sio chuchu!

    Sema huyo mkamuaji kakaa pazuri sana kwa Tele moja la nguvu. Sema ng'ombe nadhani hajielewi tu
  5. Mr. Django

    Wasukuma Wanazaliana Sana, Inahitaji Affirmative Action juu ya Uzazi wa Mpango dhidi yao

    Mtu umejaa uzandiki na chuki dhidi ya watanzania wenzako lkn bado unataja Yesu! Una akili timamu kweli? Bwana Yesu ndo anafundisha hizi husda, chuki, uzandiki nk unaounyesha hapa? Yafaa nini kujinasibisha na Jina la Yesu ikiwa huyaishi matendo na mafundisho yake!?
  6. Mr. Django

    Selfika na JF: Snap it. Show it

    Una rangi nzuri[emoji122][emoji122][emoji122]
  7. Mr. Django

    Je, ni dhambi kwa Mlokole kufanya kazi katika kiwanda cha kutengeneza pombe?

    "Ya Kaisari mwachie Kaisari na ya Mungu mwachie Mungu..." Dhambi ni dhamira na ndiyo maana kuna mdau katumia ule mstari unaosema kimwingiacho mtu hakimtii najisi bali kimtokacho. Je, dhimira yako ni ipi hapo kiwandani, kunywa pombe? Je, dunia hii iliyochanganyika na uovu unaweza vipi kwa...
  8. Mr. Django

    SoC01 Unavyoweza kujiajiri kwa kufundisha mtandaoni

    Mwandishi waeleweshe wapiga kura wako kuwa feature ya vote ipo kwenye web version pekee! Kwa wanaotumia JF app hamna hiyo feature
  9. Mr. Django

    Updates: Kukamatwa kwa Wanachama wa CHADEMA Kanisani Mwanza

    Kuna wakati mtu unatafakari unashindwa kuelewa kama upinzani wetu ni sifuri kiasi hiki na bado ati una ndoto za kuongoza taifa. Kwamba siku hizi hata ibadani wanaenda na sare za chama. Na askofu anakiri kupokea "sadaka za wanachadema" na kisha kuwakaribisha chakula! Kwamba ibadani siku hizi...
  10. Mr. Django

    Naomba uzoefu kuhusu Honda Fit

    Hii yangu nimepiga Moro Mwanza kama mara 4 sasa bila tabu kabisa. Mara zote nimeendesha bila kusimama. Yaani gari ikiwaka saa 11 asubuhi inatoboa saa 1 jioni Mwanza
  11. Mr. Django

    Mba kichwani (Dandruff): Fahamu Chanzo, tiba na jinsi ya kuepukana nazo

    Kama hapo ulipo unaweza kupata shampoo ya "Head and Shoulders" iliyoandikwa anti dundruf utasahau tatizo ndani ya wiki tu.
  12. Mr. Django

    Ukifika Capetown utashangaa sana

    Mzee mzima check facts zako vizuri! Hicho kilichopo milimani ni restaurant tu, hamna hotel, na unaweza kufika kwa kuhike pia, si lazma cable car pekee. Milima inayoonekana kwenye hiyo picha, huu wa kwanza unaofanana na "seal" unaitwa Lion's Head japo pia upo ndani ya hifadhi ya table mountains...
  13. Mr. Django

    Jinsi ya kuondoa au kupunguza mafuta tumboni kwa wanawake (Vitambi vya kike)

    Kama una changamoto ya goti huwezi kukimbia (jogging) basi jiwekee mkakati wa kutembea angalau 5Km kwa siku! Hii itakuhitaji kama saa 1 tu. Tembea kwa Kasi yaani walau 10min/km. Kama upo mkoa wenye milima, jifunze kufanya hiking (of course unahitaji kampani). Ukitoka hiking utakuwa na njaa...
Back
Top Bottom