Recent content by MR DJ

  1. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Kigwangalla aagiza kampuni ya Uwindaji ya OBC ya Loliondo kurudi walikotokea kabla ya Januari 2018

    Haya mambo ni mazur kama nyuma ya pazia yana nia njema, ila kama ni kick hakuna jipya
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mtwara: Mkuu wa Mkoa atumbua walimu wakuu 63

    Ufaulu wa watoto ni wakuu washule au mazingira mazuri!..huyo mkuu wa shule aliwah kwenda kusikiliza changamoto za hiyo shule na kutatua! Ifike mahali walimu kama basi na iwe basi manyanyaso ni mengi sana..kufeli kwa wanafunz ni zaid ya matokeo wakuu wa wilaya na mikoa tuachane na siasa katika elimu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hoja kwa hoja: Wakosoaji wa uteuzi wa Gavana mpya Benki Kuu ya Tanzania, mnayajua haya?

    Kwanza tujue kwanini gavana wa bank wanashauri awe mchumi. Na ugavana sio uwaziri ile ni taaluma...kama tunaweza kuchagua vitengo nyeti vya fedha kwa mihemuko ya kisiasa tutabak nyuma katika ukuaji wa uchumi...tunahitaji katiba mpya itakayosimamia utendaji wa serikal katika weledi wake...
  4. M

    JamiiForums Tanzania USD 300 Million, Pro-Govt, Barrick Gold na Tundu Lissu

    Hiyo hela usd300 imetolewa ili kuficha aibu kwa serikali....na ukitaka kujua Hilo angalia hizo hela zitapelekwa wapi....mnakumbuka za radar ziliendaga wapi? Fuatilia mtakuja kuniambia
  5. M

    JamiiForums Tanzania Acacia: No formal proposal has been put to us for consideration at this point in time

    Naomba tupate ufahamu Toka kwa wabobezi, ivi tokea mchanga usimamishwe mpaka Sasa Kodi tuliyokosa Ni kiasi gani? Pili kamati zilizoundwa zimekula kiasi gani? Na win win situation tutachangia kiasi gani? Na je Kuna nchi gani Africa wamefanikiwa kufanya mikataba ya 50/50 wakavuka vizuri Mambo...
  6. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Lissu atoka ICU, anaweza kukaa...Kamera za CCTV karibu na aliposhambuliwa zimeondolewa

    Kinachotakiwa Lisu apone hatujaali gharama Ni kiasi gani Hilo sio muhimu kwa Sasa kosa kubwa Ni kula hela ya rambirambi hiyo Ni dhambi kubwa na majanga kagera
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ingekuwa ni amri yake, Magufuli angefutilia mbali mbio za mwenge!, Jee ni amri ya nani?

    Umasikini wa Tz hautaisha mpaka tuache imani za mapokeo ya mwenge
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ingekuwa ni amri yake, Magufuli angefutilia mbali mbio za mwenge!, Jee ni amri ya nani?

    Kutokana na imani yangu mwenge Ni tambiko na nimekosea natubu kwa kushiriki matambiko bila kujua... Daniel alitupwa kwenye tundu la Simba kwa kutaa kuabudu sanamu kwa amri ya mfalme .....sintaabudu Tena mizimu
  9. M

    JamiiForums Tanzania Dangote accuses ‘Bulldozer’ Tanzanian president of scaring away investors

    All investors wanahitaji favour from a host country but...ukimnyima mazingira mazuri lazima watakimbia....tunajisifu tunapendwa tulikuwa tunalima kahawa leo iko wapi? wapi katani? wapi pamba.?...hiyo tanzanite Bei zake Zina panda na kushuka, iko siku tanzanite itakuwa mapambo majumban kwetu na...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Septemba 7, siku ambayo Tundu Lissu alishambuliwa kwa risasi tuipe jina gani?

    Kwa kuwa Lissu alipona Naona tuiite 7th9miracle day (Yani siku ya miujiza) ni siku Mungu ameonesha Mwenye haki hafi hata Kwa mabomu na bunduki
  11. M

    JamiiForums Tanzania Sheikh Mkuu wa Mbeya, Mohamed Mwansasu: Baadhi ya wasomi ni hawana akili kabisa

    Utawala unapoanza kutumia udini katika shughuli za chama si sahihi Kabisa na Kama anajiamini aende akazungumze hayo msikitini Kama hujapigwa kofi la kelebu, Tukitafuta viongoz wa Dini watusifie for cheap popularity kesho Nani atasema uovu wetu... Neno wapumbavu ni matusi na Kama kiongoz wa Dini...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ndugai: Lissu hawezi kutibiwa kwa michango, ana stahiki zake kama mbunge

    Muheshimiwa Lissu Haumwi homa ili apate referal Toka muhimbili... Tukio la kupigwa risasi ni zaid ya ajali mtu anaweza kufa at any time.... Je matibabu anayopatiwa Lissu Kwa sasa yapo TZ? Pili hiyo bima si inakiwango Cha gharama inayotakiwa! Na tatu bima hairuhusu mtu kutibiwa nje? Mimi...
  13. M

    JamiiForums Tanzania RWANDA: Diane Rwigara na nduguze wakamatwa kwa tuhuma za kuwa tishio kwa usalama wa nchi

    Najaribu kuuliza ni kipi bora? Madaraka Haya ya kulevya Au yusaidiwe na nchi zilizoendelea mbona Africa tuuu
  14. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA tuishukuru serikali kwa kuokoa maisha ya Tundu Lissu

    Lissu hata asingehudumiwa na madaktari wa Tanzania Angepona tuu uhai wa Lissu Uko Uko mikononi mwa Mungu Pekee... Risasi moja inatosha kutoa uhai wa mtu sembuse nane? Matendo mema ya Lissu kupigania haki kumemuokoa na kifo.... Tenda mema na Mungu atakulinda
  15. M

    JamiiForums Tanzania Maagizo Haya ya RC wa Dar es Salaam yanatisha

    Kipindi Cha utumwa Watu walilazimishwa kufanya kazi Tena bila malipo.. Uhuru tuliopata ni kuhimiza Watu wafanye kazi ila sio kupangia Watu wafanye kaz Muda gani. Na hata starehe huwez kunipangia Muda na jinsi ya kutumia hela yangu. Madam sijakuomba na nakula jasho langu usinipangie Nini...
Back
Top Bottom