Sheikh Mkuu wa Mbeya, Mohamed Mwansasu: Baadhi ya wasomi ni hawana akili kabisa

Ulitegemea Aseme Nini Wakati Yupo Kwenye Afla Ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)???

Hapo Unahitaji Akili Ndogo Tu Kujua Falsafa Ya Lugha Aliyoitumia Ukilinganisha Na Mazingira Ya Lugha ilikofanyika.

Ili Ugundue Hilo Pia Huyo Sheikh Aalikwe Kwenye Afla Nyingine Ya Chama Tofauti Na CCM Utaona Nini Atakiongea
Mjinga mama yake, mshenzi mkubwa, mla wali mkubwa
 
Baadhi ya wasomi ni wajinga kabisa na wapumbavu
Mohamed Ali Mwansasu, Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Tanzania amesema maneno hayo ''makali'' baada ya kufuatilia juhudi kubwa nzuri za Mh. Rais Dr. John Pombe Joseph Magufuli amegundua kuwa baadhi ya wasomi Tanzania ni wajinga kabisa na wapumbavu. Maneno hayo yalisemwa katika mkutano maalum uliohudhuriwa na viongozi wa dini mbalimbali katika hafla hiyo ya CCM mkoani Mbeya.

Sheikh Mwansasu amesema kabla ya kutoa kauli hiyo kali, alifuatilia na kusoma maandiko ya Critical Thinkers wenye kufikiria kwa undani kuhusu maana pana ya elimu na kuelimika. Katika ma-critical thinkers alikutana na mwanafalsafa Plato na amegundua elimu si tu kusoma vitabu mbalimbali na kuhitimu shahada ya kwanza, Uzamili au Ph.D bali ..... pia Mwl. Nyerere alipata kusema .....uhuru bila nidhamu ni sawa na uwendawazimu....

Source: MbeyaYetuOnline TV

Na hapa bahasha itakuwa ipo mfukoni wakati anajitoa ufahamu! Huyu ni sheikh njaa kama wa mkoa wa Dsm anayeshinda kwenye ofisi ya bashite kupinga mizinga
 
Utawala unapoanza kutumia udini katika shughuli za chama si sahihi Kabisa na Kama anajiamini aende akazungumze hayo msikitini Kama hujapigwa kofi la kelebu, Tukitafuta viongoz wa Dini watusifie for cheap popularity kesho Nani atasema uovu wetu... Neno wapumbavu ni matusi na Kama kiongoz wa Dini hakupaswa kutumia hilo neno afute kauli ni kudhalilisha taasisi na kumkosea Mungu sababu ya chakula
 
Hupaswi Kumtukana Hivi Mana Ni Kumuonea Tu.
Hakuwa na Chaguo La Kusema Zaidi Ya Hilo Kulingana Na Mazingira Aliyoko
Hapana kama atakosa busara tutalitukana takataka! Yeye inabidi afie ukweli, aliagana kufa kwa kutetea ukweli, short of that ni takataka kama zingine! Sheikh Wali Mchuzi
 
Kujidhalilisha tu ambako hakuna maana
Hapo anaubiri siasa waislamu wakiingia kwenye siasa watatumika tena kusema dini na siasa haviendani.
Kweli alietengeneza BAKWATA walikuwa na malengo yake.
 
Baadhi ya wasomi ni wajinga kabisa na wapumbavu
Mohamed Ali Mwansasu, Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Tanzania amesema maneno hayo ''makali'' baada ya kufuatilia juhudi kubwa nzuri za Mh. Rais Dr. John Pombe Joseph Magufuli amegundua kuwa baadhi ya wasomi Tanzania ni wajinga kabisa na wapumbavu. Maneno hayo yalisemwa katika mkutano maalum uliohudhuriwa na viongozi wa dini mbalimbali katika hafla hiyo ya CCM mkoani Mbeya.

Sheikh Mwansasu amesema kabla ya kutoa kauli hiyo kali, alifuatilia na kusoma maandiko ya Critical Thinkers wenye kufikiria kwa undani kuhusu maana pana ya elimu na kuelimika. Katika ma-critical thinkers alikutana na mwanafalsafa Plato na amegundua elimu si tu kusoma vitabu mbalimbali na kuhitimu shahada ya kwanza, Uzamili au Ph.D bali ..... pia Mwl. Nyerere alipata kusema .....uhuru bila nidhamu ni sawa na uwendawazimu....

Source: MbeyaYetuOnline TV

Huyu shehe ni mtafuta kiki tu kwa viongozi.
Jinsi alivyo, kiuhalisia ktk dini kaiva vyema, ni msemaji sana kuliko kawaida. Maisha yake huyu ni mwalimu mkuu shule fulani Mbeya vijijini sijui kwa sasa.
Ni muumini wa ccm kichama kwani kuwaponda wapinzani ndiyo jadi yake.
Aliwahi kumtukana sugu mbele ya kikwete kwenye daku na Mh.. Rais shule ya Mby day na kuleta taharuki kubwa sana.
Akiwa anasoma chuo kikuu udsm alikosa ada na akawa na hali ngumu mwisho akaenda kwa jk kwa tiketi ya cheo cha shehe mkuu mkoa wa mbeya akapikelewa, akaeleza shida yake ya ada akasamehewa akawa udsm kula kusoma kulala kwa amri ya rais hadi akamaliza.
Ni mtu anayejua kujikomba kwa wakubwa kwa kiki nyingi ilimradi tu apendwe na kuwa salama bila kujali salama wa wengine. Kiuhalisia kidini yupo sawa lakini ni mlopokaji grade wanu.
Waislamu wengi watesekao na utawala huu wa ccm sijui anawasemea vipi mfano shehe Ponda.
Ni vema shehe mkuu mkoa wa mbeya uamue moja kuwa mwanasiasa ama kwenye dini maana binafsi huwa sikuelewi kwa uropokaji wako wa kusifia upuuzi wa serikali hii. Ukiwa mbele ya makutano faragha na rais ulisema nchi ya misri, libya zimekubwa na matatizo kwa sababu ya kudharau mamlaka zilizopo bila kuwa na mfanano halisi kwa Tanzania.
Binafsi sikukuelewa na ninadhani ni mwendelezo wa kiki kwa wakubwa.
Acha dini uingie kwenye siasa ueleweke maana kuisifia serikali inayowatesa waumini wako miaka nenda rudi ni ujinga grade wanu.
 
Mkuu MLA PANYA SWANGA,

Shukrani kwa kutupatia wana-JamiiForums habari za kina za mwanazuoni huyu wa Nyanda za Juu Kusini mwa Tanzania.
 
Baadhi ya wasomi ni wajinga kabisa na wapumbavu
Mohamed Ali Mwansasu, Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Tanzania amesema maneno hayo ''makali'' baada ya kufuatilia juhudi kubwa nzuri za Mh. Rais Dr. John Pombe Joseph Magufuli amegundua kuwa baadhi ya wasomi Tanzania ni wajinga kabisa na wapumbavu. Maneno hayo yalisemwa katika mkutano maalum uliohudhuriwa na viongozi wa dini mbalimbali katika hafla hiyo ya CCM mkoani Mbeya.

Sheikh Mwansasu amesema kabla ya kutoa kauli hiyo kali, alifuatilia na kusoma maandiko ya Critical Thinkers wenye kufikiria kwa undani kuhusu maana pana ya elimu na kuelimika. Katika ma-critical thinkers alikutana na mwanafalsafa Plato na amegundua elimu si tu kusoma vitabu mbalimbali na kuhitimu shahada ya kwanza, Uzamili au Ph.D bali ..... pia Mwl. Nyerere alipata kusema .....uhuru bila nidhamu ni sawa na uwendawazimu....

Source: MbeyaYetuOnline TV

Naye huyu shehe ubwabwa tu. Mzee wa hitima. Elimu yake ya juu ni madrasa.
 
Huyu na yeye ni mjinga na mpumbabu,maana hajamwelewa Plato.kwanza tendo tu lakualikwa hapo tayari hana fikra huru,hivyo basi imempasa kuongea kwakuangalia tumbo zaidi kuliko critical thinking.MTU yeyote aweza kuwa mpumbavu na mjinga pale ambapo atakuwa hafati utaratibu juu ya jambo fulani.Kwa mfano viongozi wa dini wanaokesha kuombea matokeo ya jambo Fulani badala ya kukemea chanzo cha matokeo husika,mfano ni kuombea amani badala ya kuombea haki.
 
Yeye anadhani watu ni welevu completely? No watu wapo nusu nusu ata usome vipi hakuna aliyekamilika yaani utakua mwerevu pale laki huyo huyo anakua mjinga kule
 
Back
Top Bottom