Dr Ulimboka alipotekwa akateswa nusu kufa alitupwa porini pembeni mwa barabara akiwa hajiwezi.
Kuna wasamalia wakamuona akiwa hoi huko porini na kuwataarifu akina Kijo Bisimba, Waliomfuata wakamuokota wakamuhifadhi vizuri wakampeleka Hospitali ya Muhimbili kwa ajili ya Tiba.
Kwa vyovyote vile, wale waliomuokota na kumhifadhi na kisha mumpeleka Muhimbili ni watu muhimu sana na wenye mchango mkubwa sana katika process nzima iliyookoa UHAI wa Dr Ulimboka.
Itakuwa ajabu sana ikiwa Dr Ulimboka anaweza kutoa shukrani kwa Muhimbili na madaktari waliomtibu kuwa eti ndio pekee wanaostahili kuchukua credit ya kuokoa maisha yake na kuwasahau watu Muhimu kama akina Kijo Bisimba na wasamalia wema waliomuokota na kumhifadhina kisha kumsafirisha kwa hao wanaoonekana ndio "WAPONYAJI"
Swala la Mh Tundu Lissu halina tofauti kubwa na la Dr Ulimboka.
Lissu alipigwa risasi kadhaa, akawa hoi bin taabani, alibleed sana na kwa kweli isingekuwa juhudi za madaktari wa Dodoma General Hospital wakiongozwa na Bingwa Dr Ulisubisya Mpoki ambaye ndiye Katibu Mkuu wa wizara ya AFYA, CHADEMA tungelipeleka maiti NAIROBI.
Tundu Lissu tusingelikuwa naye akitupa kiki za kisiasa mitandaoni na kwenye vyombo vya habari leo hii.
Kitaaluma inapotokea hali yoyote inayotishia kutoweka kwa UHAI jambo la msingi na muhimu ni kuoffer emmegency care inayomuondolea mgonjwa hatari ya kutoweka UHAI wake.
Hili lilifanywa vema na serikali ya Dr John Pombe Magufuli.
Hapo ndipo UTAALAMU wa hali ya JUU kabisa kama wa akina Dr Ulisubisya Mpoki (Katibu Mkuu - Wizara ya Afya) unapohitajika na ndipo hasa palipo na kiini cha mgonjwa kupona au kupoteza UHAI wake.
Namaanisha Tiba iliyotolewa na serikali hii ya Dr John Pombe Magufuli ndiyo iliyodetermine Outcome inayotupa kiki mtaani leo.
CHADEMA tuache UNAFIKI. Ndani ya CHADEMA kuna Madaktari akiwemo Katibu mkuu wa chama chetu.
Tumwambie Mwenyekiti wetu, tuwaambie akina Lema na akina Msigwa Uhalisia wa nani hasa aliyeokoa UHAI wa Mh Tundu LISSU.
Je Ni Madakatari wa NAIROBI au ni MADAKATARI wa serikali ya Mh MAGUFULI?
Katika Taaluma huwa kuna msemo kuwa anayemuona mgonjwa kwa mara ya kwanza ndiye determinant kwa asilimia kubwa ya outcome ya tiba.
Nasubiri neno la shukrani la MhTundu Lissu mwenyewe kama naye ataishia kuwashukuru akina Mange Kimambi, Wema na madaktari wa NAIROBI, au ataikumbuka na serikali ya Magufuli iliyodetermine uwepo wake leo hii.