Recent content by mr.dalali

  1. mr.dalali

    JamiiForums Tanzania Oppo, oneplus, Google pixel

    Habari wakubwa. Natafuta simu za hizo flagship , mpya au hata kama ikiwa ni used nje..
  2. mr.dalali

    JamiiForums Tanzania Upweke umenichosha natafuta mpnzi mke

    Single tukutane Singles tukutane, hapa Single tukutane
  3. mr.dalali

    JamiiForums Tanzania Upweke umenichosha sana, nahitaji Mume

    Single tukutane Singles tukutane, hapa Single tukutane
  4. mr.dalali

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

    Single tukutane Singles tukutane, hapa Single tukutane
  5. mr.dalali

    JamiiForums Tanzania Duh, tazama Wachina walichomfanyia huyu Mwafrika

    Harafu wakiwa huku wanajifanya marafiki, watu wanawashobokea sana..... Arrgh
  6. mr.dalali

    JamiiForums Tanzania Makonda: Wanaume wafanyakazi wakatwe asilimia 40 ya mishahara yao wapewe wake zao

    Kwani kila mwanaume ana michepuko?
  7. mr.dalali

    JamiiForums Tanzania Swali gumu kutoka kwa Kipanya

    Haina haja ya kujiuliza, kama umepita depo utaelewa Kuwa hivo ni vikwazo vya upinzani kuelekea uchaguzi 2020
  8. mr.dalali

    JamiiForums Tanzania Makonda: Wanaume wafanyakazi wakatwe asilimia 40 ya mishahara yao wapewe wake zao

    Vipi, mtu akitoa hiyo asilimia bado tena utegemee atoa matumizi, matibabu ya family, atahudumiaje wazazi wake, bado ukweni kukipata majanga still mwanaume aombwe msaada. Mtafanya wanaume tuchanganyikiwe, mtafanya ndoa iwe kama ajira sasa na watu wabweteke. So mlinzi anaekomaa anapata mshahara...
  9. mr.dalali

    JamiiForums Tanzania Makonda: Wanaume wafanyakazi wakatwe asilimia 40 ya mishahara yao wapewe wake zao

    Huyu atafanya watu waanze kuuulizana kuhusu kazi, kama mwanamke hana kazi itakuwa ishu kupata mwenza, wana complicate maisha ya ndoa na mahusiano yawe magumu. Wanakuja na visheria kibao.
  10. mr.dalali

    JamiiForums Tanzania Kozi gani umesoma ambayo huwezi kumshauri mtu mwingine aisome?

    Why usiandike proposal mbalimbali mzee. Cheza na wizara ya nishati.
  11. mr.dalali

    JamiiForums Tanzania Kipanya: ACT Wazalendo wanamuwinda, je watampata

    Jamaaa hajatupa Jezi bado, [emoji3]. Anaweza kulitinga anytime, kama Mamvi.
  12. mr.dalali

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kukuta nini kwenye chumba cha boyfriend wako ukajuwa mko wengi?

    [emoji3][emoji3][emoji3] ukamjengea picha aone ni uchawi
  13. mr.dalali

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu ununuzi wa tairi la gari na utumiaji wake

    *280/R/70/13/560/S
  14. mr.dalali

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanaume H.I.V Positive mrejesho

    Like for this dude. UKIMWI ni state ya muda tu, umeongea jambo kubwa boss. Actually napenda kuwa na marafiki wanaohitaji upendo, smbdy to show them the other side of life.
Back
Top Bottom