Upweke umenichosha sana, nahitaji Mume

Habari,

Mimi ni mwanamke mkristo wa miaka 31,nina mtoto mmoja. Ninajitokeza kwenu kuweka wazi nia yangu.Ninahitaji mwanaume ambaye ana nia ya kuwa na mahusiano ya dhati na tukijaaliwa tufikie ndoa.

Ninayemuhitaji

Awe na umri kuanzia miaka 35-45
Awe mkristo
Awe mkweli na muwazi
Awe na kipato halali
Awe na nia ya dhati siyo mbabaishaji

PM iko wazi ,mwenye uhitaji karibu.
"Buyer be ware"This is a new member.
 
Habari,

Mimi ni mwanamke mkristo wa miaka 31,nina mtoto mmoja. Ninajitokeza kwenu kuweka wazi nia yangu.Ninahitaji mwanaume ambaye ana nia ya kuwa na mahusiano ya dhati na tukijaaliwa tufikie ndoa.

Ninayemuhitaji

Awe na umri kuanzia miaka 35-45
Awe mkristo
Awe mkweli na muwazi
Awe na kipato halali
Awe na nia ya dhati siyo mbabaishaji

PM iko wazi ,mwenye uhitaji karibu.
Tuma picha kwanza tukuonenakuja pm

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
hivi vigezo mnavyoweka muwe mnajaribu na ku-GOOGLE....... labda....otherwise muumbe wa kwako...........kama unajielewa weka fact nakata somebody........huko mbele utajua ndie au sie.......hapa UTAKAZWA ujute......ndio sisi wanaume..
 
Punguza miaka 10 kwenye vigezo vya mwanaume unae muhitaji mimi nipo tayari
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom