Kuna mtu alinirespond kwenye changamoto yangu na kunipromis kuwa leo jumanne watu wa Tanesco (Surveyor) wataenda site niliyomuelekeza kusurvey. Lakini mpaka dakika hii sijapigiwa simu kama wamefika au la, na nampigia simu inaonesha call forwarding then haiconnect. Sasa najiuliza ndo hao matapeli...
Nashukuru sana kwa response yenu kwangu ktk kuhakikisha mnanisaidia kwa kero niliyoitoa. Japokuwa utekelezaji bado lakini kwa response niliyoipata nina imani kubwa ya kuwa mtanisaidia. Nimefurahi katika hili.
Ushauri wangu kwenu Tanesco msisubiri mpaka watu waclaim kwenye medias ndipo mtoe...
Nipo Peramiho - Songea DC, nimepeleka maombi ya kuunganishiwa umeme kama mteja mpya tangu tar 23/12/2019 kwa mpango wa REA lakini hadi leo hakuna Surveyor aliyefika. Na nyumba yangu ipo jirani tu na nguzo si zaidi ya Mita 30. Nimefuatilia mwezi February nikaambiwa niandike barua ya kuwakumbusha...
Hapo ntakupinga kidogo, umeangalia zaid negativity ambazo ni chache lakn ukienda upande wa pili ( positivity), utasema bora kuoa na ukishaoa upate mtoto hapo utaona utamu wa kuoa. But kila mtu yupo sahihi kulingana na mtazamo wake broo. Huyo rafikiyo alikujibu vile koz akili yake ilikuwa bdo...
KWA MWL WA MSINGI; TUBADILISHANE KITUO CHA KAZI, NJOO BARIADI H/ WILAYA MI NIJE MOROGORO HALMASHAURI YOYOTE. KAMA UPO TAYARI WEWE AU YEYOTE UNAYEMFAHAMU ANAHITAJI KUFANYA HIVYO, TUWASILIANE KUPITIA (PM).
OYA TUBADILISHANE KITUO CHA KAZI, MI NIJE SONGEA H/ MASHAURI YA WILAYA, NA WEWE UJE BARIADI HALMASHAURI YA WILAYA. UKIWA TAYARI WEWE AU YEYOTE UNAYEMFAHAMU NA ANAHITAJI KUFANYA HIYO EXCHANGE BASI NI PM TU.
SASA NDO UFANYE TATHMINI HAO VIONGOZI WALIVYOUA WATU NA HIVI VITA VINAVYOENDELEA KILA KONA, JE IDADI YA WATU INAPUNGUA AU INAONGEZEKA? HII DUNIA YA MUNGU CYO YA NWO ETI WAWEKE IDADI YA WATU WANAOTAKA WAO..NEVER HAPEN BROTHER...
Mpaka sasa sijamuona mtetezi wa wanyonge zaidi ni wakandamizaji wa wanyonge..Mfano Sukari anayeumia ni mtanzania wa kawaida na hii mikodi yao ndo tunaitimiza ile sheria/ kanuni ya mwenye kidogo ananyang'anywa na kile kidogo aichonacho..[wacha tuisome namba eeh......mbele kwa mbeleeee..*2]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.