Tena ajabu zaidi ni kuwa wazazi wake wanamlazimisha binti yao abadili dili hili nalo halitumii nguvu kujuwa ni kiasi gani wazazi wa binti hawatofautiani na mwanao.
Uliyoandika nasema upo sahihi kwa mtazamo wangu.
Ila ikiwa hiyo picha ndiyo ulichozungumza si sawa.
1.Kiatu ulichovaa ni black wakati huo mkanda ni brown (Vinapaswa viwe na rangi moja)
2.Suruali ina lux (kama nimekosea nirekebishe) kubwa wakati mkanda ulionao ni mdogo hivyo inafanya mkanda...
Niliwahi.
Aliniacha bila sababu nikiwa bado ninampenda sana, sikuacha kumpigia japo mara chache baada ya miezi minne akanirudia nilijisikia vizuri na furaha ila cha ajabu simpendi sana kama zamani.
Hata naye analijuwa hili ila ndiyo alinipenda kuliko alivyowahi kunipenda.
Nakubali ni kosa...
Kosa kubwa alifanya baba yako ni kuoa mke pasina kuwafanya waunganike na wawe na haki sawa. Na hili kila atakayeoa akampa mwanamke mmoja haki na thamani kubwa zaidi ya mwenzake migogoro kama hiyo inakuwepo.
Babu yangu alioa wanawake watatu na kila mwanamke alimjengea nyumba. Alihimiza kuwa kila...
Unaonekana kuwa na busara sana. Si mwepesi sana wala mzito sana kukubali usichokijuwa badala yake unafanya uchunguzi. Hii nzuri.
Ila zaidi kauuli zako zinajitosheleza kwa yeyote kutambua wewe ni mtu wa aina gani.
Umesema wewe una mwili mwembamba ila me naweza kuwa nimekuzidi kwa kuwa na mwili zaidi yako wewe, nakumbuka darasani nilipokuwa sekondari nilikuwa naogopwa hadi na walimu muda mwingine kunichapa tena ukizingatia mimibni mpole sana.
Ninachoshukuru sikuwahi kukufuru hata siku moja kwa kujuta hivi...
Ikiwa atapewa sababu na akaelewa mtu kama huyo kwa uzoefu wangu kuja kuoa ama kudumu na mwanamke huwa ngumu sana kwakuwa anapoachwa hapewi sababu za msingi.
Nilitaka kumuoa alinikataa akitarajiwa kuolewa na mwingine, ikashindikana akanirudia eti nimuoe na kipindi hichi sipo tayari.
Haipo faida yako wewe kutaka asiumie kisa tu huitaji kumweleza ukweli kuwa humtaki wakati huo ndiyo ukweli, ataumia tu sababu anamatarajio nawewe hali ya kuwa kwako ipo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.