Recent content by Mr Care.

  1. M

    JamiiForums Tanzania Foleni Dar: Tatizo ni traffic light au Polisi?

    Tatizo miundo mbinu haisapoti,mazingira ya uendeshaji hivyo vyombo bila ujanja ujanja
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu yampa ushindi Baba wa Mawazo, Mawazo kuagwa na kuzikwa kwa heshima zote

    Suala la kumuweka marehemu,siku kenda bila kumuhifadhi ktk nyumba yake ya milele ni udhalilishaji.Tuache siasa kupitia misiba.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Foleni Dar: Tatizo ni traffic light au Polisi?

    Trafiki ni zaidi ya taa kusababisha folen
  4. M

    JamiiForums Tanzania Januari Makamba: Magufuli kutangazwa Rais tarehe 29 oktoba 2015

    Naye akamatwe...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Januari Makamba: Magufuli kutangazwa Rais tarehe 29 oktoba 2015

    Naye akamatwe kama watakavyokamatwa wengine....
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kwa waliooa: Hivi pale sebuleni kwako una siti maalumu au unakaa popote tu

    Tunafanana mi nakaa popote tu,ila nakaglass changu hako hadi mtoto kazoea.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ni bora kumiliki gari au nyumba?

    Kukimbilia nyumba ni uoga wa maisha,gari first
  8. M

    JamiiForums Tanzania Over 710 people killed, 863 injured outside Mecca in Hajj crush

    Sio bure ww ukapimwe akili
  9. M

    JamiiForums Tanzania YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Anaweweseka makongoro...anajitekenya na kucheka mwenyewe.
  10. M

    JamiiForums Tanzania YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Mliopo jangwani tupeni updates....Arusha hakuna umeme tangu jana usiku.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kuchangia gharama za usimasmizi wa mtihani kwa wanafunzi wa darasa la saba?

    Kuna taarifa kwamba wazazi wanatakiwa wachangie shilingi elfu saba hadi elfu kumi kwa ajili ya gharama za usimamizi wa mtihani.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Hodi waungwana

    Nafuraha kuwa member wa hii forum kipindi muafaka..Naomba kujua nawezaje kuanzisha topic(mada),najua wajuzi ni wengi humu mnijulishe.Ahsanteni.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye ahamia upinzani Rasmi - Agosti 22, 2015

    Mwaka huu kazi ipo kwa C.C.M....waje tu Ukawa wasaidie kuzuia bao la mkono
  14. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye ahamia upinzani Rasmi - Agosti 22, 2015

    Ngoja kukuche....iyo ni proved newwwz
Back
Top Bottom