Recent content by Mr Bigboss

  1. M

    JamiiForums Tanzania F4 five vs OD labaratory tech

    Achana na advance, nenda chuo aiseee. Advance unaenda kupoteza muda TU.
  2. M

    JamiiForums Tanzania COET or DIT

    Kuna utofauti kati ya technician na engineer
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa Udahili wa Mwaka 2025/26 Umekuwa Kandamizi: TCU Acheni Watu Waamue Wanaenda Wapi

    Sasa uta confirm vipi na nafasi zimejaa. Na wao hawawezi kudaili sasa kuongeza capacity inaanzia mbali. Tokea kwa kuwepo kwa walimu wakutosha, miundombinu rafiki na ndio mana wanaweka limit ya wanafunzi kwenye Kila course
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa Udahili wa Mwaka 2025/26 Umekuwa Kandamizi: TCU Acheni Watu Waamue Wanaenda Wapi

    Kwa vyuo vyenye competition kubwa dakika 5 nyingi sana aiseeee. Huwezi kuelewa Hilo
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa Udahili wa Mwaka 2025/26 Umekuwa Kandamizi: TCU Acheni Watu Waamue Wanaenda Wapi

    Hawa watoto wa 2000 hawawezi kuelewa hili. Kila chuo na Kila course ina idadi yake. Ukichelewa tu ku confirm imekula.kwako
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa Udahili wa Mwaka 2025/26 Umekuwa Kandamizi: TCU Acheni Watu Waamue Wanaenda Wapi

    Sasa hayo masaa mawili je kama watu wamecomfirm mpaka wakajaza idadi inayotakiwa? Wao wamekuchagua kwa kuwa una qualifications lakini nafasi Zina idadi
  7. M

    JamiiForums Tanzania Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

    Profession: PARTS SALES Experience : 7 years Education level: Bachelor degree Location: Ubungo, Dar.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wale tuliosoma advanced mathematics -pure- ni topic gani ilikutoa povu na ipi uliionea

    binafsi differential niliona nyota nyota nilivyofundishwa mara ya kwanza, toka hapo nikaipotezea mazima kwenye pepa nikawa sifanyi swali lake
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yanga anaweza kuchukuwa kombe ili la shirikisho

    walijazana nyuma ila matokeo yakuwaje? 😄 😄 😄 :D
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nielezeeni kuhusu diploma ya civil engineering

    arusha tech, DIT, MUST
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nichague ipi kati ya course hizi?

    soma civil
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kupata D ya General Studies ni ngumu kuliko A ya physics

    kwani wewe ulisoma comb gani?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kupata D au E ya physics A level ni kazi kubwa kuliko kupata degree ya biashara au ya arts, je ni kweli?

    physics A level lazima uwe umejikaza bila ya hivyo utaona dunia chungu
  14. M

    JamiiForums Tanzania Nataka kusoma Clinical Medicine. Je, hali ya ajira ikoje?

    ajira hazitabiriki mzee, soma course yoyote unayoipenda
Back
Top Bottom