Recent content by Mr Bean.

  1. Mr Bean.

    JamiiForums Tanzania Iphone kwa Sasa imejikita na camera zaidi kwa toleo la 15

    Kampuni ya Apple Wamezindua Simu zao Mpya za IPhone 15 128GB 6GB RAM, 256GB 6GB RAM, 512GB 6GB RAM128GB 6GB RAM, 256GB 6GB RAM, 512GB 6GB RAM128GB 8GB RAM, 256GB 8GB RAM, 512GB 8GB RAM, 1TB 8GB RAM256GB 8GB RAM, 512GB 8GB RAM, 1TB 8GB RAM Kwa Tanzania Hizi simu inawezekana bei ikawa zaidi ya...
  2. Mr Bean.

    JamiiForums Tanzania Kila kitu unachopaswa kujua kuhusu PC games

    Asante sana mkuu Ubarikiwe sana
  3. Mr Bean.

    JamiiForums Tanzania Microsoft Flight Simulator

    Ok Sawa Mkuu Specifications yake na Bei yake Aina gani, Viambata vyake, Location nk
  4. Mr Bean.

    JamiiForums Tanzania Microsoft Flight Simulator

    Wakuu Naombeni Msaada kwa anejua nawezaje kuapata Microsoft Flight Simulator Games. Au kama kuna mdau anazo/anayo. Nimeziona za Ku downloads na Hard copy(cd) Bei ni Balaa. Tafadhali wadau.
  5. Mr Bean.

    JamiiForums Tanzania Kabla ya kujenga fly over Magomeni na fire panueni barabara Kimara - Ubungo

    Mkuu Bado Haruka Fly over Tanzania Unayoyaona yote ni Madaraja tu.
  6. Mr Bean.

    JamiiForums Tanzania TRA yafafanua ongezeko la ushuru wa magari

    Acha Ubishi wa kijinga
  7. Mr Bean.

    JamiiForums Tanzania Sirari: MwanaCCM aliyehamia CHADEMA kwenye mkutano wa John Heche akamatwa na Polisi

    Yes 100000000000000000000% Sent from my iPhone using JamiiForums
  8. Mr Bean.

    JamiiForums Tanzania Baada ya Vifurushi vipya: Internet speed ya Vodacom ni majanga

    Tatizo limeanza hivi juzi tu walivyokuja na hii kitu Sent from my iPhone using JamiiForums
  9. Mr Bean.

    JamiiForums Tanzania Baada ya Vifurushi vipya: Internet speed ya Vodacom ni majanga

    Kweli kabisa speed imekuwa ndogo sana Hadi inaboa Bora wangeacha vile vile Sent from my iPhone using JamiiForums
  10. Mr Bean.

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa Rims za Aluminium

    Wadau, Nina hitaji kupata wataalam wa kurekebisha rims za gari, alminium rims zangu zimepasuka na bado nazipenda. Kama kuna mtu yeyote humu jukwaani anafahamu walipo wataalam hao, please anijulishe; nasikia kuna utaalam wa kuzichomelea zinakuwa angalau. Sent from my iPhone using JamiiForums
  11. Mr Bean.

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa Rims za Aluminium

    Wadau ninahitaji kupata wataalam wa kurekebisha Rims za gari. Aluminium Rims zangu zimepasuka na bado nazipenda; kama kuna mtu yeyote humu jukwaani anafahamu walipo wataalamu hao please anijulishe. Nasikia kuna utaalamu wa kuzichomelea zinakuwa angalau. Sent from my iPhone using JamiiForums
  12. Mr Bean.

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kununua TV ila sijui ipi ni bora zaidi na ni full HD

    Zipo TV hadi 102” Hiyo hapo 82 Huyo jamaa wa wapi uyo Sent from my iPhone using JamiiForums
Back
Top Bottom