Recent content by Mr.Bakari hanje

  1. Mr.Bakari hanje

    Scholarships

    Wadau naombeni tuelezeni opportunities za kupata scholarships na taratibu zake za kuzitafuta na kuzishughulikia!!!!
  2. Mr.Bakari hanje

    Je ni kweli nilimtoa bikra?

    Inabidi lecture uzishushe hapa ili watu wapate kuelewa na kuondokana na dhana potofu Uwanja ni wako
  3. Mr.Bakari hanje

    Je ni kweli nilimtoa bikra?

    Hapana ila ni moja ya changamoto zilizopo kwasasa Dhana ni nyingi sana thats why
  4. Mr.Bakari hanje

    Je ni kweli nilimtoa bikra?

    Tuelimishe hapo kwenye kutengeneza njia
  5. Mr.Bakari hanje

    Je ni kweli nilimtoa bikra?

    Kwann ujute columbus
  6. Mr.Bakari hanje

    Je ni kweli nilimtoa bikra?

    Kumtoa bikra mwanamke ni lazima ionekane damu??? Msaada wenu
  7. Mr.Bakari hanje

    Faida ya madafu

    Habari zenu wakuu! Naombeni mwenye kuwa na ufahamu tujuzane juu ya faida zinazopatikana ndani ya madafu kiafya ndani ya miili yetu......
  8. Mr.Bakari hanje

    Naomba kujuzwa faida ya maji ya madafu

    Habari zenu wakuu! Naombeni mwenye kuwa na ufahamu tujuzane juu ya faida zinazopatikana ndani ya madafu kiafya ndani ya miili yetu......
  9. Mr.Bakari hanje

    Dalili za ujauzito

    Na mwingine kwann eti baada ya siku kadhaa anasikia period yake lakini haitoki. Je yaweza kuwa ni dalili mojawapo???
  10. Mr.Bakari hanje

    Dalili za ujauzito

    Natumai ni wazima wadau Mada yangu inaomba nielekezwe juu ya dalii za ujauzito zinaanza kujionyesha baada ya siku au wiki ngapi baada ya tendo la ndoa??? Naobeni msaada wenu
  11. Mr.Bakari hanje

    job vacancy bot

    Ukipata uhkika tutafutane zenoobbyy
  12. Mr.Bakari hanje

    job vacancy bot

    Hivii wadau ile job advertisement walotoa bot kuhusu post ya NOTE COUNTER III majibu yametoka????? Tujuzane wadau
  13. Mr.Bakari hanje

    Medical consultation

    Kuna mtu kanambia Inaitwa Q-PID je ni kwel
  14. Mr.Bakari hanje

    Medical consultation

    Hivii dawa ya kuongeza nguvu za kiume inaitwaje?? Na pharmacy inapatikana?
  15. Mr.Bakari hanje

    namna ya kutumia simu yako kama modem

    unaweza kutumia wireless kama computer yako ina wireless!
Back
Top Bottom