Recent content by Mr awesome

  1. M

    JamiiForums Tanzania Post za kidato cha tano 2015/2016

    Mr podson.... Shame on you.... ACHA KUONGEA PUMBA HAPAAAA
  2. M

    JamiiForums Tanzania Post za kidato cha tano 2015/2016

    Kamdanganye anayekupa ugali sio mimi... Mnaboaaa kinyama dah nipe namba yako niktumie buku ununue gazeti ujipepee maana naona uongo ni utamaduni wenu Sorry kama nmekukera but ndo ukweli huo...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Post za kidato cha tano 2015/2016

    Em namimi nizungumzie hizi taarifa za KIPUUZI na za UZUSHI kuhusu swala hili.... Nmeona watu wengi humu jukwaani ambao wanaleta taarifa za UONGO... Mara oooh post leo mara oooh post kesho... Hivi ukikaa kimya pale ambapo kitu haukijui unapungukiwa nini au ndo mnaotea ili ukisema siku na...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Post za kidato cha tano 2015/2016

    CCM oyeeeeeeee..... (itikeni wadau) Tamisemi oyeeeee.... (itikeni wakuu) WANANCHI KIMYAAAA.... kama nawaona vile mlivyokerekwa na post doh hahahahahahah Mungu atupe uvumilivu maana kuna watu wanakaa mtaani na vijiweni kuanzia asubuhi mpaka jioni matokeo yake wataanza kujifunza kuvuta...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Post za kidato cha tano 2015/2016

    Inabidi wakati mwingne nijifariji kwa bata za hapa na pale lakini mmmmh majangaaa..... Serikali hawataki kutoa post mpaka nimpe mimba mtoto wa nyumba ya pili hapa afu niende jela miaka 30 miee maana mtoto mwenyewe mwanafunzi halafu mzuriii kichizi.... c kesi hizi jamani ... Doh...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Post za kidato cha tano 2015/2016

    "NZI akiacha ujinga wake, ipo siku atatengeneza ASALI"... Kweli nmeamini serikali DHAIFU ya CCM imeshindwa kutekeleza majukumu yake hata katika hili....MUNGU IBARIKI TZ NA WALIPA KODI WAKE KWANI VIONGOZI WANASHINDWA KUTEKELEZA MAJUKUMU YAO IPASAVYO.... Ngoja tuone kama mwaka huu watu...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Post za kidato cha tano 2015/2016

    Hahaha hahahaha post kamshangeeee
  8. M

    JamiiForums Tanzania Post za kidato cha tano 2015/2016

    Haupatiiiiiiii
  9. M

    JamiiForums Tanzania Post za kidato cha tano 2015/2016

    Haupati
  10. M

    JamiiForums Tanzania Post za kidato cha tano 2015/2016

    Hahahah balaaaaaa tupu
  11. M

    JamiiForums Tanzania Post za kidato cha tano 2015/2016

    Dah ukiona kitu hakikuhusu bora unyamazeeeeee sadick shukrani mnaboaaa kichizi
  12. M

    JamiiForums Tanzania Post za kidato cha tano 2015/2016

    Serikal imeshindwa kutekeleza majukumu yake hata katika hili jamani..... MUNGU IBARIKI TZ
  13. M

    JamiiForums Tanzania Post za kidato cha tano 2015/2016

    Yote sawa tu wasipotoa tunaenda kuwa PANYA ROAD mtaani.... Kitanuka tu
  14. M

    JamiiForums Tanzania Post za kidato cha tano 2015/2016

    Umeona eenh
  15. M

    JamiiForums Tanzania Post za kidato cha tano 2015/2016

    Dah karibuni down hapa 2napiga twit kwa mbuga, mgote, nk
Back
Top Bottom