Recent content by Mr Antidote

  1. Mr Antidote

    Asilimia ya wanawake ambao wanakeketwa kwa nchi

    Kwa hali hii ukute ndio maana Aziz Mafunguo kanogewa kwa Mobeto kaamua achukue jumla jumla kanogewa na yowee la Mobeto kwao mayowe ni ya kuyatafuta.
  2. Mr Antidote

    Ma brother wa miaka 35+ hebu tupeni wadogo zenu, ushauri wowote wa kuhusu maisha

    Usilete shobo na watoto wa watu/ndugu ukajifanya mtu mwema kutaka kuwalea, kuwasaidia au kuwafanya kama wakwako. Focus na watoto wako tu hao ndio wanaokuhusu. Wengine kama uwezo upo saidia wakiwa kwao.
  3. Mr Antidote

    Nauza spea used za magari haya kwenye picha

    Mark X bumber ya nyuma ipo? Bei ipoje?
  4. Mr Antidote

    My personal Top 10 list ya movie za kusikitisha nilizobahatika kuona

    Kwa hiyo kwenye hii list "Sometimes in April" haipo? Basi sawq
  5. Mr Antidote

    Gharama za Maisha Zanzibar Zipo Juu sana

    Mkuu Konyagi haipiti ila hizo tot za Jagermaister haziwezi kuwa chini ya hiyo 10K 😂😂😂😂😂
  6. Mr Antidote

    Gharama za Maisha Zanzibar Zipo Juu sana

    Hapo Michamvi usikose kuhudhuria swimming part kama sijakosea ni kila Jumanne usiku. Usisahau kupita na hapo chuoni kwa watasha wanaojifunza kiswahili.
  7. Mr Antidote

    Ushauri: Nimemaliza chuo, nina mtaji wa 2M. Naweza kufanya biashara gani?

    Ngoja nikusaidie kupunguza options hizo ulizoweka. Kwa uzoefu wangu kusambaza bidhaa kwa taasisi hasa za serikali unapaswa uwe na capital kubwa kwasababu serikali inalipa baada ya muda mrefu kidogo. Nina experience na wazabuni wanavyozidai taasisi za umma japo wanapata faida kubwa kwa kuuza bei...
  8. Mr Antidote

    Gharama za Maisha Zanzibar Zipo Juu sana

    Mkuu, Wasalimie hapo Jambiana nilikua pande hizo za Paje Holiday ya 2022. Nilifanikiwa kuingia pale Colar Rock Hotel kulikua na live show. Hapo tots moja ya John Walker Red Label ni 10K, imagine hadi uje kuwaka umeacha kiasi gani nilikuja kushtuka nipo tots ya 12 halafu bado sielewi nikaona...
  9. Mr Antidote

    Mshahara wa data scientist

    🤣🤣🤣🤣 Mkuu serikali ni majitoleo tu. Na tunaposema serikali most of time tuna-refer Central or local government. Kwa ngazi ya degree mshaahara ni aidha uanze na TGS D ambayo ni equivalent to 765,0000/= au TGS E ambayo ni sawa na 1,000,000/=. Sasa angalia kama waneanisha salary scale kwenye hilo...
  10. Mr Antidote

    Sikujua kwamba wanawake ni pasua kichwa kiasi hiki

    She's not the one. Akiwa ndiye huwezi kupata nae tabu. Yani kila kitu utaona it's okay na wala hautakua na makasiriko.
  11. Mr Antidote

    Kuna njia nyingine naweza pata mkopo wa hazina bila kupita halmashauri?

    Kwema mkuu, Pole sana kwa changamoto ila kwasasa huduma hii ya mikopo ya hazina imeboreshwa namna ya upatikanaji wake. Waombaji wote wataomba kupitia mfumo. Good news ni kwamba sio Halmashauri wanao manage huo mfumo wao ni user tu kama wengine na unafanya kazi kwa mtindo wa FIFO yani First In...
  12. Mr Antidote

    Naomba ushauri kwa mdogo wangu kuhusu ajira ya Tutorial Assistant

    Ukishaingia kwenye utumishi wa serikali kutoka taasisi moja kwenda nyingine ni utatakiwa kuandika barua ya kuomba nafasi ya kuhamia taasisi unayoitaka na barua yako inatakiwa ipitie kwa Muajiri wako ambae ni Afisa Masuuli au Accounting Officer kwa kimombo. Akienda kufanya hiyo interview hata...
  13. Mr Antidote

    Mchanganuo wa gharama ya kulima ekari moja ya mahindi

    Wakuu Saluti, Ngoja niwape experience yangu ya Kilimo cha Mahindi Mkoa wa Ruvuma kwa Wilaya ya Mbinga. 1. Kukodi shamba 50,000 - 100,000 inategemea mahali na mahusiano na mwenye shamba. 2. Kulima kwa trekta 60,000, Kwa kutumia vibarua ni kadiri ya makubaliano lakini ni kuanzia 45,000 hadi...
  14. Mr Antidote

    Wazo la biashara la milion moja na laki nane

    Kitu nilichojifunza kwenye ujasilia mali na biashara kwa ujumla ni unatakiwa kufanya attempts kadhaa ndipo ufanikiwe. Sasa inapotokea una mtaji wa ngama aiseee ni changamoto maana huo mtaji hauwezi kusurvive kwasababu hauna backup ya hicho unachokifanya. Swali la msingi je wewe mwenyewe...
  15. Mr Antidote

    Hatimaye nimekata tamaa ya kujifunza Hacking. Ninachoki-experience sio nilichokidhania

    It's all abt passion. Wewe kuna a motive behind ambayo inaku-stress ufanye hiyo hacking. After all unapaswa kuwa very smart unapotaka kuwa hacker. Sio kila mtu anaweza kuwa hacker. It takes a dedication and commitment kuwa hacker. Pia unapaswa kuwa na resources za kufanyia hizo hacking and it's...
Back
Top Bottom