Recent content by MR. ABLE

  1. M

    JamiiForums Tanzania Hivi wanawake pesa zenu mnapelekaga wapi? Badilikeni!

    Inabidi kama mwanaume uvunje ukimya, umkalishe chini mkeo mgawane majukumu, siyo wewe ubebe majukumu yote ya familia, Sasa yeye unaishi naye ili nini? Ni ngono tu? Amekuja kuishi nawe ili kwa pamoja mshirikiane kujenga familia yeye ni msaidizi wako? Haya maisha si yakuegemeana au kukomoana.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hivi wanawake pesa zenu mnapelekaga wapi? Badilikeni!

    Wanawake ni wabinafsi, wanaishi nasi kwa mfumo wa CHANGU changu na CHAKO changu. Pesa yake ni kwaajili ya kusaidia ndugu na jamaa zake tu ili wampongeze na kumsifu tu. Huku mwanaume ukipigika kuendesha familia. Ndio maana sikuhizi wanawake wanamiliki pesa ndefu kuliko wanaume. Kwasababu pesa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ndugu zetu Wa kanda ya ziwa ndio mnaongoza Kwa matukio ya Ukatili hapa nchini. Tatizo ni nini?

    Huko mtu akifa kwa malaria au ugonjwa wowote wanashangaa, wamezoea vifo vyao ni kwa kuchinjwa au kuchomwa moto au risasi ilimradi umeuawa na si kifo cha kawaida Hiyo ni Laana, maana ukiua kwa upanga nawe utakufa kwa upanga.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ukraine yalalamika Russia kutumia makombora hatari ya thermobaric rockets, wachambuzi wa silaha wa USA wasema huo ni 'ukatili'

    Urusi inatembeza ile kitu inaitwa MKONG'OTO JAZZ BAND. hawana muda na taarabu.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Usilogwe ukaondoka nyumbani na kwenda usipopajua kwa kigezo cha kutafuta maisha

    Yaani anachopitia huyu bwana mdogo ni ile slogan ya UTAPATA TAABU SAANA! Ikinanakshiwa na KUFA HUFI ILA CHA MOTO UTAKIONA. Lakini Akili Sina kuna fursa pia naziona kupitia hii story, kwakuwa inavuta hisia na kusisimua, inaweza ikanunuliwa na vituo vya radio na kusimuliwa kwenye kipindi kama...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri nimesalitiwa

    Jifunze kuwa na kiasi, hata upendo uwe kwa kiasi. Halafu hebu badili msitizamo wako kuhusu K. Kwa mwanamke K ni chakula maalumu apewacho mwanaume yoyote amfurahishaye na kupendezwa naye, humpa kama fadhila, shukrani au pongezi. Lakini wanaume tunaamini K ni chakula maalumu anachostahili...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu alikuwa akifanya maongezi ya ngono na majirani nikamuadhibu hivi

    Trust me, huyo msela atawala hao wote. Tena kimasihara sana.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    Kichwa na kuzunguka shingo.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    Haina shida maumivu ni kutokana na kukauka kwa ute. Hivyo friction inakuwa kubwa, kunawaka moto ila kama una kilainishi mambo inakuwa swadakta.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    Nimeshaijaribu nina uhakika nayo 💯 ila kwa manzi baada ya shoo hujifeel maumivu.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    Inazuia kichwa kupata moto kwa haraka wakati wa tendo hivyo inakusaidia kuchelewa kumwaga. Kwasababu ili umwage ni kichwa kipate moto wa kutosha kuruhusu manii kutoka.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    Kilichokusibu ni hamaki kwamba hauamini kama leo mtoto ndo katimba ghetto, pili ukaingiza miss kwamba je nitamuweza kweli? Presha ikapanda joto la mwili nalo likapanda kuupimia mpini hofu imetawala ngoma ikaenda arijojo. Ukapaniki zaidi na haiwezi kuamka tena, ilikuhitaji ulale usingizi kabisa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mziki wa kwenye magari

    Yeye amesema hataki kuongeza amplifier, kwa maana hiyo mziki wake hauwezi kuwa mkubwa labda anunue powered subwoofer enclosure kwa ajili ya bass. Kinyume na hapo zitatumika speaker za kawaida ambazo mziki wake ni wa kawaida hauna bass nzito.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mziki wa kwenye magari

    Kwa specifications za hiyo radio, ni kwamba huwezi kuunganisha na speaker kubwa za bass na ukapata matokeo chanya, badala yake speaker pekee zakuweza kuunganisha ni za mid, nikimaanisha zila za mlangoni au za kwenye dashboard au zile za nyuma. Ambapo eidha ziwe zile za kuja na gari (OEM) au za...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Msaada Tafadhali, ni mtandao upi wenye kasi zaidi kati ya Vodacom 4G na Halotel

    Ipo tangu zamani tatizo promo.
Back
Top Bottom