Recent content by mpwaa

  1. M

    GE2020 Misungwi: Alexander Mnyeti hajapita bila kupingwa, Mgombea wa CHADEMA ameteuliwa kupambana naye

    Mmepigwa kekundu wapuuz nyie mmechukua copy mkaacha form original wajinga kweli na hio ndo dawa yenu
  2. M

    GE2020 Je, Vyombo vya Habari vitaanza kumpa "Coverage" kubwa Tundu Lissu, mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA?

    Vinanin hata vikiacha huyo baba yenu atapigwa mpaka achakae
  3. M

    GE2020 Nape Nnauye ateuliwa kuwania Ubunge jimbo la Mtama peke yake baada ya wagombea wengine kukosa baadhi vya vigezo

    Wamefanya uhuni wakurugenzi malamiko tumeshayapeleka tume subirin mtaona kama watafanikiwa
  4. M

    GE2020 Nini siri ya mafanikio ya wagombea wa CCM katika ujazaji na urejeshaji fomu za uteuzi?

    Acha kuxungumzia chenge Mimi ni mkaz wa bariad na nimzaliwa wa hapa nambie ni lini chenge alipita bila kupingwa taja mwaka then nikupe na majina ya aliopambana nao kila uchaguzi usipotoshe
  5. M

    Watanzania wazalendo, mgombea wa CHADEMA ametudhalilisha sana, hatufai hata kwa udi na uvumba

    We we mwenyewe na ukimwi wako unakunywa ARV za mabeberu
  6. M

    TBC wanatufanyia uhuni wa waziwazi walipakodi wa Nchi hii

    Mwanaume wa kweli halalamikii wapumbavu unahangaika nao wa nini hao wapuuz
  7. M

    GE2020 January Makamba akana kuporwa fomu kwa mgombea Ubunge jimbo la Bumbuli kupitia CHADEMA

    Yeye anawezaje kukana kwani yeye ndiye aliyeporwa mbona ccm ni wajinga kiasi hiki hebu nitoe mfano MTU akisema amepigwa na mtu fulani anawezaje kujitokeza mtu ambaye hakuwepo na kusema hajapigwa kwanza CCM ni watuhumiwa kwenye hilo so hawana moral authority ya kusema chadema hawajaporwa...
  8. M

    Mipango miovu ya Tundu Lissu yabainika. Soma barua ya inayofichua mipango hiyo

    Kwa hio lissu anamamlaka ya kuwaondoa polis kwenye lile eneo wanapoishi naibu speaker na mawaziri aisee mataga lazima yatage
  9. M

    GE2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

    Rais wa mataga vipi amerudisha from au bado
  10. M

    Mgombea ubunge jimbo la Mufindi kupitia CHADEMA, Titho Emanuel atekwa akiwa njiani kurudisha fomu

    Mimi in chadema lakin chadema na nyinyi mmekuwa wapumbavu na mikakati mibovu kwanini arudishe form pekeyake wakati lissu alisema wakati wa kuchukua na kurudisha form mgombea asindikizwe sasa kama angekuwa na wenzake hao wahuni wangemnyang'anyaje form huo ni upuuzi kwa upande was chadema hapo...
Back
Top Bottom