Recent content by Mpwa

  1. Mpwa

    Immigration Officers wa Tanzania upande wa Nakonde border acheni njaa

    Jengo leo upande wao hakuna Picha ya Raisi wetu Pendwa Mule John Pombe Magufuli upande ule wanakaa Kaa Wale Wa Tanzania. Kwetu kule Raha tupu Adha tuzipatazo Upande wa Zambia ni balaa, Fika Boder ya Kasumbalesa ,Fika Mpulungu una Book Passport na hela unatoa ile ya dharura ikiandikwa Biashara...
  2. Mpwa

    Immigration Officers wa Tanzania upande wa Nakonde border acheni njaa

    Njaaa unaziona kwa Wa Tz ila Zambia ni halali, January nilisafiri na Mtumishi wa Serikali tena Mwalimu shule Moja Mbalizi alikua anakwenda kwa Mumuewe Kitwe alikataliwa hakua na ushahidi wasafari na barua toka kwa Mwajiri madalali wakachukua elfu 40 na hakuruhusiwa hadi tunaondoka saa 12 Asubuhi...
  3. Mpwa

    Immigration Officers wa Tanzania upande wa Nakonde border acheni njaa

    Ushafipa Nakonde hasa ukipitapale Usiku? Adha ya pale uliza madereva ,Uhamiaji Tanzania washanisaidia zaidi ya mara 2 nishazuiliwa Zambia tena nikiwa napata tu kwenda Harare, Naamini ukiwaona Maafisa ukiwaeleza zumuni ya safari yako sidhani kama watakuzui labda uwe umbeba unga ndio wengi hawa...
  4. Mpwa

    Immigration Officers wa Tanzania upande wa Nakonde border acheni njaa

    Usiwasingizie Jamaa wa Uhamiaji pale napata sana na hua wanauliza ushahidi wasafari nikweli, maana lazima wajua unapenda ni salama kwako ,Pale kuna wale Madalali na wako wengi sana hata mimi walisha niliza mambo ya kadi ya chanjo ilinitoka ,wao wanachukua hela na haifiki hata kwa hao maafisa...
  5. Mpwa

    Natambulisha Live Online Tv kwenu

    Napata sauti tu picha hazionekani
  6. Mpwa

    Tunaotaka kwenda Zambia kuangalia fursa tukutane hapa

    365 Bidhaa nyingi zinazotumika mwambao wa ziwa Tanganyika kuanzia Chipwa hadi Kigoma kama Juice, Biskuti, Unga, zinatoka zambia, na sehemu wanayo chukulia mzigo ni Mpulungu, usafiri ni Mv Liemba na Maboti ya Mbao
  7. Mpwa

    Kupotea kwa boti ziwa Tanganyika: Nashauri Jeshi liingilie kati

    Ndio usafiri tulio nao labda Azam atunusuru
  8. Mpwa

    Kupotea kwa boti ziwa Tanganyika: Nashauri Jeshi liingilie kati

    Imezama upande gani maana ziwa tanganyika nikubwa kwa Tanzania ni Kigoma hadi Chipwa Mkoani Rukwa, wapi sasa, na Congo hiyo Moba, Nkorosha, Kiku, Uvira ama Kalemie, fafanua uzuri
  9. Mpwa

    Samaki wa mapambo Ziwa Tanganyika

    Hao samaki wanapatikana baadhi ya Maeneo kwa aina tofauti, kuna wanao patikana mwambao wa Kigoma, Maeneo ya Rukwa kama Kipili, Kasanga, Kabwe, Ikola, kuna wanao patikana Zambia na aina nyingine Nchini Congo hasa Moba
  10. Mpwa

    Web development for beginners in swahili

    Tuko Pamoja Mwalimu#frankgalos
  11. Mpwa

    Uhamiaji pitieni hapa

    Uhamiaji hawahusiki na vibali vya kazi wao ni vibali vya makazitu toa taarifa Idara ya Kazi
  12. Mpwa

    Huyu Jenista Mhagama akitimiza anayosema kufukuza wageni nitamheshimu rasmi

    Uhamiaji hawatoi Work Permit, wanaotoa ni Wizara ya Kazi
  13. Mpwa

    Wenye ndoa piteni hapa kwa ushauri

    Eti Madam kawa mwalimu wa chekechea huyo?
  14. Mpwa

    Picha: Pereira Ame Silima afunga mafunzo ya awali ya askari polisi, vijana waonyesha ukomavu

    Uhamiaji wao waliwakilishatu ama naoja habari nzima Police tuuuu
Back
Top Bottom