Recent content by mpungara

  1. mpungara

    Abdallah Majura auza radio station

    HUYO MWAMPOSA AMENUNUA REDIO ZOOTE ZILIZOKUWA ZINAMILIKIWA NA ABDALLAH MAJURA BULEMBO.
  2. mpungara

    Tusaidiane kutafsiri kauli hii ya papa Francis

    MIMI NASHAURI KUWA ILI KULINDA UMOJA WETU HII MADA IONDOLEWE HARAKA.
  3. mpungara

    Tusaidiane kutafsiri kauli hii ya papa Francis

    NI WAPI PAPA ALIRUHUSU USHOGA???? LETA ANDIKO HILO HAPA TULIONE!!!!!!!!!
  4. mpungara

    DIGITAL RADIO BROADICASTING

    naomba mwenye ujuzi na digital radio broadcasting alete nyundozake hapa ili watu wapate darasa maana huko ndiko tunakoelekea muda si mrefu
  5. mpungara

    Nini Tofauti ya fuel consumption between 3s Vs vvti engines

    Nisaidieni kujuwa tofauti ya ulaji wa mafuta wa engine za 3s na zile za Vvti? Mfano ulaji wa mafuta wa RAV4 yenye 3s na ile yenye engine ya vvti?
  6. mpungara

    Msaada; kwa yeyote mwenye uzoefu na nissan x-trail

    Ndugu zangu nataka kununua Nissan x-trail ila sina uzoefu na gari hizi, naomba mwenye uzoefu nazo anipe ABC zake, je nini matatizo makubwa hasa ya gari hizi? consumption yake ya mafuta ikoje?
  7. mpungara

    vyeti vya zamani

    ubishi katika elimu, hivi ni nani anastahili kupewa cheti cha form four?(sio leaving) na je mtu kama alimaliza shule miaka ya 90 kurudi nyuma imean 90,89,88,........ anawezaje kujuwa matokeo yake bila kwenda baraza la elimu au wizarani? i mean anawezaje kuona matokeo yake au ya rafikiyake...
  8. mpungara

    Naibu spika Ndugai adai waziri mkuu Pinda hana sifa za uraisi

    sijawahi kuona chuo cha kusomea URAIS wa nchi.Pinda na wengine waliotangaza nia wametumia ipasavyo democrasia ingawa waamuzi wa mwisho juu ya nani awe RAIS ni wapiga kura kwa ujumla wao wakiwemo wana JF.
  9. mpungara

    Msaada kwenye tuta please.

    hamjambo wa JF woote, poleni na majukumu. jamani naombeni msaada wa kujuzwa yafuatayo. nini maana ya maneno yafuatayo,kazi zake na tofauti yake mipakayake 1 TRADERS. 2 INVESTMENT. 3 LIMITED.
  10. mpungara

    Nauza original camera aina ya sony cyber shot kutoka marekani.

    Acha ushamba, weka bei na specs za kutosha.
  11. mpungara

    Ifunda tech secondary school ya chomwa moto

    masikini Ifunda.mimi nilidhani ni msitu wa ndovu umeungua,au kule lyandembera.kumbe ni katika ofisi inayotunza nyaraka muhimu za UNGA wa watu.duh!sasa si na ofisi za jirani nazo zimeungua?kama ya mkuu wa shule na ya barsa?jamani.so sad.ule mpango wa kila shule na vyuo kuwa na magari ya kuzimia...
  12. mpungara

    PICHA: Nimefurahia hii MBINU YA WANA LOLIONDO KUDAI HAKI KWA CCM MAENEO MENGINE WAIGE HII MBINU.....

    Kijiji kizima cha mrudishia kadi zake za ccm naibu katibu mkuu wa ccmMwigulu Nchemba ahaha kupokea kadi 2000 zilizorudishwa na bendera na Tshirt
Back
Top Bottom