Mimi nimetatizwa na wanaotumia maneno kwa kutamka idadi na hasa maneno haya. Watu kumi na wanne, ishirini na watano, thelathini na watatu (badala ya kumi na nne, ishirini na tano, thelathini na tatu)wamepoteza maisha katika ajali hiyo. Nijuavyo ni kuwa kwa kujua idadi inatamkwa nne (embe nne...
Walipewa viwanja, wakauza na kurudi tena mabondeni. Sasa wanasema watahamia wapi na walipwe. Naamini kuwa kuwa ulitafuta pesa na ukazidunduliza kwa kujinyima mambo mengi yasiyo na manufaa. Ulitakiwa pia ufikirie wapi utahifadhi (kupata eneo maridhawa) pesa zako ulizozitafuta kwa muda mrefu...
-Dada mmoja alisema vidonge vya mpango vinaongeza hamu ya kujamiiana. Wanawake wengi wanaotumia wana ugonvi wa kutotosheka na waume zao na kuanza kutoka nje.
Mushi92, hii nimeisoma juzi na nimeipenda sana. Kwa ufahamu wangu wa wana JF kuwa wasikivu bila hata kuipa changamoto (hallenge)ya kweli ni kwamba wamekubaliana nayo, name nakubaliana nawe. Ila naona madhara yake yameegemea sana kwa mwanamke, vipi madhara kwa upande wa pili? Mwisho hongera sana...
Rais - J.K Nyerere , Mkuu wa majeshi - Musuguli, Gavana wa benki kuu - Nyirabu, Jaji Mkuu Nyalali, hebu endeleza na wengine.Ndugu kuna vitu lazima upange mkakati uliokamilika unahitaji watu makini na unaoweza kuwaambia wakaelewa. Ndivyo alivyoanza Baba wa Taifa na kasha baadae ndiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.