Mushi92, hii nimeisoma juzi na nimeipenda sana. Kwa ufahamu wangu wa wana JF kuwa wasikivu bila hata kuipa changamoto (hallenge)ya kweli ni kwamba wamekubaliana nayo, name nakubaliana nawe. Ila naona madhara yake yameegemea sana kwa mwanamke, vipi madhara kwa upande wa pili? Mwisho hongera sana kwa kazi nzuri ni mategemeo yangu tutapata thread nyingi zenye mafunzo (MUNGU na sayansi):A S-rap:ya aina hii.