Recent content by mpujufu

  1. M

    Kikwete: Nalaani CHADEMA kutaka kutengeneza kikundi cha Kujilinda

    "It is criminal to teach a man not to defend himself, when he is the constant victim of brutal attacks" (Malcom X, 1925 – 1965).
  2. M

    New Series I: Madudu na sifa za Edward Lowassa!

    Acha uongo ww!....J.K Nyerere alikua waziri mkuu tulipopata uhuru then later on akawa Rais!
  3. M

    John Heche atangaza rasmi kugombea jimbo la Tarime

    We kweli poyoyo!...yaani unarudisha miaka nyuma hadi 2005!...au unachanganya tenses?
  4. M

    Lowassa, Membe and Sitta: Unfit to Lead, Unprepared to Command

    Umenena vema mkuu!...walichokifanya hao wakina Lowasa, sitta na membe ni kama "gun boat diplomacy"! ambayo ni aina ya diplomasia kama ilivyo mazungumzo ya mezani...na ni jambo la kawaida sana kwa mujibu wa nadharia ya "realism" ambayo imeegama ktk "power politics" inayotanabaisha kwamba "mkwara'...
  5. M

    Rangi Nyekundu kwenye bendera ya CHADEMA ina maana gani?

    Ina maana ya Upendo...yaani valentine colour!
  6. M

    Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana

    Huyo bwana ni kama vile daktari-mwanaharakati ajulikanaye kwa jina la "Amilcar Cabral" aliyeishi Afrika ya magharibi!
  7. M

    CV ya William Lukuvi

    Kamaliza MA- in Political Science OUT, last year (Nov.2011) wandugu!
  8. M

    Joshua Nassari MB.

    hapa nawaona na nyie mnakurupuka kwa jazba zisizo na msingi!...hivi yeye alivyosema ni mdogo kwani ni lazima nyie m-conclude kuwa ni "udogo" wa umri?....inawezekana yeye alimaanisha ni "mdogo" kwa wadhifa katika "game" la siasa na si lazima nyie m-conclude kuwa ni "udogo" wa umri!
  9. M

  10. M

  11. M

    Chadema Washngiton DC 100%; CCM (USA-UK ) 00.0 %

    Brain concusion!....una matatizo makubwa kwenye halmashauri ya ubongo wako!
  12. M

    Kumbe hata baadhi ya Wabunge wa Upinzani wanapokea Rushwa!

    Haya malalamiko yamekaa kimajungumajungu hivi!
  13. M

    Hongera Zitto

    Unamaanisha Kigoma Kaskaz watambania kwa kukosa sifa toshelezi?
  14. M

    Yes madam Speaker, We are stupid!

    Aliyeidhinisha nyongeza ya posho ni "Ridhiwani Kikwete", na signature yake ndo inayoonekana kwenye docs. za Anne makinda pale mjengoni!
  15. M

    Aliyesema hivyo bungeni ni DAVID KAFULILA na sio GODBLESS LEMA

    Ni mimi niliyesema "Funga milango tuchapane!". Ova
Back
Top Bottom