Recent content by MPSZX PAULO

  1. M

    Nimesoma kilimo, natafuta kazi ya Agronomist

    Mkuu wala hata siyo visingizio vya kitoto kilimo siyo biashara ya kuchezea labda kama unalima mazao ya kula na familia yako lkn kama unataka kufanya kilimo kama biashara yako ya kutegemea nisikufiche tu inahitaji uwekezaji mkubwa ikiwemo, 1. Ku drill kisima ili upate maji ya uhakika 2. Uwe na...
  2. M

    Nimesoma kilimo, natafuta kazi ya Agronomist

    Kwanza pole sana mkuu haya mahindi yana upungufu wa virutubisho vya phosphorus weka mbolea ya DAP haraka sana iwezekanavyo lakini CAN na UREA haziwezi kusaidia kwenye hali hii
  3. M

    Biashara ya pembejeo za kilimo

    Habari zenu Wana JF, Awali ya yote ningependa kumshukuru mwezi mungu kwa kutujalia uzima na afya njema kwa niaba ya wana JF wote Andiko langu ni kutaka msaada kwa waliotangulia katika tasnia ya biashara ya pembejeo za kilimo katika mambo yafuatayo: 1. Ni mtaji kiasi gani kiwango cha chini...
  4. M

    Biashara ya pembejeo za kilimo

    Habari zenu Wana JF, Awali ya yote ningependa kumshukuru mwezi mungu Kwa kutujalia uzima na afya njema Kwa niaba ya wa JF wote. Andiko langu ni kutaka msaada Kwa waliotangulia katika tasnia ya biashara ya pembejeo za kilimo katika mambo yafuatayo: 1. Ni mtaji kiasi gani kiwango Cha chini...
  5. M

    Nimesoma kilimo, natafuta kazi ya Agronomist

    Maboss wajitokeze tusuke mpango kazi
  6. M

    Nimesoma kilimo, natafuta kazi ya Agronomist

    Mkuu mfano wa bajeti kilimo Cha nyanya ekari 1 1.kukodi shamba 50000/- 2.kusafishiwa shamba 70000/- 3.kulimiwa shamba 50000/- 4.mbegu ya nyanya ubora mdogo kabisa 50000/- 5.kamba za kufungia nyanya roller3 @40000=120000/- 6.mbolea mifuko5 @150000=750000/- 7.dawa za wadudu na ukungu mpaka kuvuna...
  7. M

    Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

    Mkuu bado unasoma maliza kwanza njoo kwenye soko la ajira utashangaa hizo option ulizozisema utazunguka maofisini mpaka mashati yachanike na chumvi uliyotota nayo kwenye jua , utasambaza CV mpaka Gmail account itajaa na utanunua space google Amini ajira zipo lkn ni ngumu sana mpaka uwe na...
  8. M

    Nimesoma kilimo, natafuta kazi ya Agronomist

    Mkuu tatizo mtaji Sina nitawekeza Kwa kutumia nn
  9. M

    Nimesoma kilimo, natafuta kazi ya Agronomist

    Mkuu shida siyo kujiari tu kilimo kinahitaji mtaji 1.shamba 2.mbegu 3.mbolea 4.mifumo ya umwagiliaji 5.zana za kilimo kama matrekta, majembe ya trekta, boom sprayer 6.madawa ya kilimo Ndipo utalima Kwa mafanikio Vinginevyo utakuwa unalima ushahidi tu kwamba umejiajiri lkn hakuna unachopata...
  10. M

    Nimesoma kilimo, natafuta kazi ya Agronomist

    Natafuta kazi ya Agronomist (mtalaam wa kilimo Elimu yangu: Bsc. Horticulture Uzoefu wa kazi katika kilimo Kwa miaka 3 Rubis Agri Ltd 1. Uzalishaji mahindi ekari 200 sawa na ton300 Kwa mwaka 2. Uzalishaji ndimu ekari 50 3. Uzalishaji migomba(mzuzu) ekari 50 4. Uzalishaji macadamia nuts ekari...
  11. M

    Ajira portal

    Ninasikitika kusikia kwamba huenda ikafuta taarifa zako zote ikiwemo kuondoa maombi uliyotuma[emoji23]
  12. M

    Ajira portal

    Hbr za asubuhi Wana jamvi ni nini kimetokea kwenye page ya ajira portal maana naona haifunguki na na inaandika hakuna taarifa zozote au wamefuta page ya ajira portal?
  13. M

    Ajira portal

    Hbr za asubuhi Wana jamvi ni nini kimetokea kwenye page ya ajira portal maana naona haifunguki na na inaandika hakuna taarifa zozote au wamefuta page ya ajira portal?
Back
Top Bottom