Nahitaji kununua nguruwe wachanga wa kununua ili nifuge ila nguruwe hao wasiwe nje ya Mkoa wa pwani wilaya ya kibaha pamoja na chalinze pia Mkoa wa morogoro wilaya morogoro mjini
Nimefuatilia sana hapa mtaani mabibo mwisho,mbagara zakhim,Tandika mwisho,mwenge ,external nk, jamaa wanagonga pweza and then wanashushia na matunda mchanganyiko wanasepa mikono mitupu inanikera sana
Naomba tulijadili hili jambo, katika Jiji la Dar sijui Mikoa mingine Kuna wauza matunda wengi wanauza matunda ambayo wamesha yaandaa tayari kwa kuliwa utaona jibaba anagonga matunda pale and then anaondoka kwenda Nyumbani mikono mitupu sielewi kama hana familia au ni uchoyo? Naomba tujadili hili
Maandiko yanawema "watu wangu wanaangamia kwa kukowa maaeifa"kwanini usitumie Biogas ambayo gharama ya uendeshaji ipo karibu na Bure?nitafute nikupunguzie gharama ya nishati
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyinyi mbona wagumu kuelewa na kwanini kila kitu mnapinga tu na kuongeza sentensi zenu, mlisema serikali itapelekwa mahakani lakini by TL , barrick wamejileta wenyewe kwenye 18 wanataka kulipa bado mnabadisha sentensi lakini hata kama kukaa meza ya mazungumzo ni hatua kubwa tofauti na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.