Bei ya gesi ya kupikia majumbani yapanda

Bei ya gesi ya kupikia majumbani yapanda

Haya masuala ndio yanahitaji press conference lakini wanasiasa wetu huwezi kusikia wanatoa hata press release. Yanatugusa wananchi moja kwa moja na yanahitaji maelezo ya kina kwanini bei imepanda. Utasikia mambo laini ndio yanaitolewa ufafanuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KWa msg nilionayo

ORYX GESI WAMEPANDISHA BEI KAMA IFUATAVYO

KG 6 KUNUNUA 17"000 KUUZA 20"000
KG 15 KUNUNUA 42"000 KUUZA 47"000
SIJAELEWA LENGO LA KUCHEZESHA WATU AKILI HIVI NINII

NIHIVI MAJUZI BEI ZILIKUWA 48"000/2000
WAKAPUNGUZA ZIKAUZWA 18"000/45000

LEO TENA MNAPANDISHA KWANINI MSIAMUE KABISA KUBAKI HUKO HUKO WATU WAZOEE BEI KULIKO KUWAFANYA MATONDO.

MWISHO POLENI WATUMJAJI WENZANGU KAZI NSIO IMEANZA FUNGENI MIKANDA


Si tuliaminishwa kuwa tukianza kuvuna gas yetu bei zitapungua?
 
Nilikuwa na msambazaji wa gesi jana akasema kuanzia jumatano ya wiki hii (yani leo) itapanda n kuwa elfu kumi na sita kwa wauzaji hiyo ni mihani
 
Wana JF,

Serikali kama kawida yake ya kauli mbiu ya kutunza mazingira, iko mbele sana kuweka katazo za kutokata miti kwa ajiri ya kuni na mkaa, lakini inasahau kuwa mbadala wake ambao ni gas inapanda kila siku kiasi kwamba watumiaji wanarejea kukata mti kutokana na kukosekana fedha za kunulia nishati hii.

Wiji jana Gas ilishuka mpa 43,000 mtungi wa kg16 , leo hii mtungi umeenda mpaka tshs 50,000/=
mbali na makampuni ya ushindani kuwa mengi lakini hawa wanaongea lugha moja, kwanini serikali haingilii biashara hii iache kumuumiza mlala hoi aliehubiliwa kutokata miti kwa jaili ya utunzaji wa mazingira. Mnec na EURA ungana kutatua taizo hili kwa walaji.
 
Hili swali hata watawala hawawezi kukujibu
Ile gesi ya mtwara sio hii nayotumika kwenye mitungi hii ya kupikia, hii tunayotumia ni LPG na ile ya Mtwara ni NATURAL GAS. Hii ina agizwa toka nje kama mafuta mengine.
 
Ile Gesi ya Mtwara ni Mali ya Tanzania?

Au Bomba limepasuka kwenye bomoa bomoa?

Au Gesi ni ya Mchina?

January Makamba ni mtoa kauli tu, no policy or action which can save our environments
 
soon gesi nimesikia ita sambazwa majumbani so naona wakina shunche wana pandisha pandisha maana yake wanajua biashara yao ita dorora tuh
 
Back
Top Bottom